KUNA SWALI NAJIULIZA KILA KUCHWAO KWANINI VITU MAGEREZANI VINAUZWA BEI GHALI WAKATI HUKU URAIANI NI BEI RAHISI WAKATI VITU NI VILE VILE? NA KWA NN HAWATOI RISITI?
Wakuu
Nimekua mwajiriwa wa kampuni flani binafsi kwa muda wa miaka miwili sasa,nimepata uzoefu mzuri tu wa kuweza kuendesha firm yangu pia.
Nimefanya kazi na mwajiri wangu vizuri tu ila kwa siku...
Kuna huyu kijana watu wanasema kuwa ni mmojawapo wa wawekezaji wazawa wa mwanzo kabisa nchini kwenye mtandao wa Internet. Wanaofahamu naye kazi wamekuwa wakimsifia kuwa ana uwezo mkubwa wa...
Wanajamvi naombeni msaada mzee wangu anataka achukue mkopo.....salary yake 900k takehome naombeni mchanganuo wa ni anaweza kopeshwa maximum kiasi gan kwa slip hyo hapo. Na kutoka bank ipi...?
Habari za majukumu wapendwa !!!
Naomba kujuzwa hatua kwa hatua namna kusajiri biashara na kupata lesseni.
Biashara yenyewe ni ya statationery and business center.
Natanguliza shukrani.
kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,mimi nina mpango wa kufungua duka la kuuza dawa za mazoezi mwishoni wa mwaka huu.Bali sina uhakika wa jinsi ya kupata kibali hicho cha kuuza dawa hizo na...
Nilikopa 15mil katika taasisi moja ya kifedha kama miaka 3 iliopita nikaomba wanikate makato makubwa ili nilipe kwa muda mfupi it was like 493000 kwa mwezi.
Sasa haya makato ni makubwa mno...
Jarida lasifu ndege mpya za Magufuli
JARIDA mashuhuri duniani la Forbes, limezitaja ndege aina ya Bombardier Dash8 Q400, ambazo tayari Tanzania imezinunua kuwa ni zenye usalama, zinazotumia...
Kumekuwa na Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL! Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa X-staff wa iliyokuwa ATC, ninaelewa! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi...
We are quite pleased to announce that Crystal Clear Software Ltd, the sole developer of number one loan software called “loan performer” has released new version.
More than 50 countries are using...
Life Advice: What can people start doing now that will help them a lot in about five years?
1. Don't have that extra slice of pizza, you've had enough to eat already - you will regret it.
2. You...
Habari wanajamvi nahitaji mkopo nikuze na nipanue wigo wa masoko wa biashara yangu ya viatu vya kimasai.
maana inafika wakati wateja wanakuwa wengi ila kutokana ninamtaji mdogo nashindwa kuwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.