Mwana Jf embu jiulize maswali haya labla ya kukimbilia kukopa mafuba...
1 . Kwanini nimeamua kukopa?
2 . Je! Hakuna njia nyingine mbadala yakufanikisha mpango Huu nje ya mkopo?
3 . Je?Hiki...
Uchumi wa Tanzania Unapaa.
Je, hali za Wananchi zikoje?
Sekta zipi zimesababisha uchumi kupaa?
Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 7.9 katika robo ya pili ya mwaka 2016, ukuaji huo...
What should we to do in order to expand the economy "opportunies" to a young entrepreneurs of Tanzania?
TLT
Kipi tunatakiwa kufanya ili kutanua fursa za kiuchumi kwa wajasiriamali vijana wa Tanzania?
Jaman wadau kijana wenu nataka kuanza ujasiriamali nina mtaji wa million 4 nilikua na wazo la kununua Bodaboda lakn kuna mshkaji wangu kanishauri nifungue duka la rejareja la kuuza vitu kama...
Habari zenu waheshimiwa, napenda kuchukua fursa hii huru kuwasilisha swali ambalo nashindwa kulipatia majibu kwa kipindi kirefu, natumaini kwamba kwa busara na weledi wajukwaa hili nitaweza patiwa...
Dar es Salaam — Swala Oil and Gas (Tanzania) Plc has entered into an agreement with Surestream Petroleum Limited to acquire the latter's wholly-owned subsidiary.
The subsidiary - Surestream...
Jamaa naomba msaada nijue ni namna gani mtu ataweza kukutumia pesa akiwa Kenya kwa kutumia Western Union na Mtu akiwa hapa Tanzania afanyaje ili aweze kuzipata hizo fedha na pia Western Union...
Mimi ni mfanyakazi,nimehamishiwa Arusha toka wiki iliyopita na kwa mfumo wa ofisi yangu ntahama baada ya miaka mitano ,naomba wadau mnijuze hivi naweza fanya biashara gani mtaji wangu ni mil 7...
Mazda CX-7 2.3 DISI MZR 5 Door
Gari hii ni ya mwaka 2007 na inakaribia kufika miaka 10
Nimejikakamua kununua gari hii kwa pauni za Uingereza 3,700 kupitia Auto Trader.
Kuhusu gari hii:
Ni...
Kampuni ya Crystal Clear Software Ltd kwa kushurikiana na kampuni ya Get up Tanzania Co. Ltd na Anjoa Co. Ltd inakuletea mafunzo ya siku moja ya matumizi ya program ya mikopo inayoitwa Loan...
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 18
“Get no joy, except a superficial joy, out of winning. Get no sadness, except a superficial sadness, out of losing. Get to the point where it...
8 THINGS YOU NEED TO GIVE UP IF YOU WANT TO LIVE A BETTER LIFE
Life is short, so why waste it living like you have got eternity to live? It’s important as humans we live knowing we have this one...
Kwenye kaduka kangu nataka niongeze na huduma za Airtel money,M pesa,tigo pesa na Halopesa.Tayari nimeshaomba laini hizo toka mwezi wa 8 mwaka huu ila bado sijaletewa laini hata moja.Kila...
Je, Production costs katika viwanda hapa Tanzania zinatoa ushindani katika soko Africa Mashariki?
Je, bidhaa za Tanzania zinauzika Kenya au Uganda?
Mfano, Mafuta ya kupikia ya Sunola ya Singida...
UPS ni kampuni inayofanya shughuli za kusafirisha mizigo kutoka nje ya nchi kuja au kupeleka nje ya nchi.
Niliagiza mzigo wangu kutoka nje ya nchi, umefika tayari umefika na nimeambiwa natakiwa...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea , maelezo zaid chek hii website
TheTasksPay.com - Earn from Your Home & Office, Earning website for Students, Job-less people
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.