Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair went upwards last week, testing the resistance line at 1.1300 and...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Wakuu naomba ushauri wenu, Kwasasa nipo Singida na kuna mahindi mengi sana huku debe hadi sh 4000. Binafsi nina mtaji wa kama milioni 6 hivi na ninataka kuifanya biashara hii, Tatizo langu ni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Asalaam alaykum, Shaloom , Bwana Yesu asifiwe nawasalimu enyi ndugu zng katika Jf Leo nimefika apa kuomba ushauri na namna ya Kuendesha mshine ya kukatia miti (Chain Saw) Kwa anaejua gharama...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Habari wakuu, Kwa wadau wenye uelewa juu ya hili, Kuna Jamaa anataka kujenga Private Villa moja hapa Zanzibar na atatumia kukodisha akiwa hayupo. Alikuwa nataka kujua kama kuna Local Bank ambayo...
0 Reactions
3 Replies
890 Views
Habari wadau, ninajihusisha kuendesha tovuti ya masomo kwa ajili ya wanafunzi wa sekondari. Kitu kinachoniumiza kuwa sasa ni mwaka 1 toka website Hii iwe hewani sijafaidika na kitu chochote (sina...
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Imagine tangu jana tarehe 08/09 hatuna meli hata moja. Kama leo wala hata sijisumbui kwenda. Taarifa zinasema kuna moja itaingia usiku tarehe 09/09/ ... haijwahi kutokea hii tangu niingie...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Mwenye taarifa za hivi karibuni za bei ya dhahabu kwa soko la Dar es salaam anijuze tafadhali. Ahsanteni.
1 Reactions
1 Replies
4K Views
“Once you get your trading plan completed however, and you have a successful track record of six months of solid trading results, lock that plan up and never share it with anyone. Use it to build...
1 Reactions
0 Replies
864 Views
Kwenye maisha kuna kitu huwa kinaitwa mchecheto wa mafanikio.Hii ni ile hali ya kutaka kufanikiwa kwa haraka hasa baada ya kugundua kuwa kama umechelewa,umri umeenda,rafiki zako wanapiga hatua kwa...
30 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari watanzania wenzangu matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vema na hapa kazi tuu uko nchini kwetu, Lengo ni kuwashirikisha na kupata mawazo yenu Ninazo machine nne za mbao kazi zake ni 1...
0 Reactions
26 Replies
14K Views
Nahitaji kuanza Kulima mbaazi huko Morogoro. Waungwana, naomba kujulishwa soko la uhakika ntapata wapi? Na je ni kweli viwanda vya kutengeneza biskuti vinanunua hzo mbaazi? Naomba kuwasilisha...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Magufuli anaposema watu wameficha pesa ndani hakurupuki. Jana tumesikia raisi akitishia ku print pesa mpya ili kuwatia hasara wale wanaomuhujumu kwani mazingira yanaonesha kuna watu wameficha...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari Zenu Wandugu na Poleni na majukumu. Naulizia soko la mbaazi kwa Dar es Salaam Nawasilisha
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu..nipo mwanza,nna laki mbili na nusu nataka kuanzisha biashara ya kuuza t shirt za manga zenye ku printiwa log tofauti,,wenye uzoefu na hii kazi ushauri wenu plz..
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa manunuzi niliyoyafanya sehemu hizi mbili tofauti ni bila shaka huyu asiyetumia EFD kuna uwezekano akakwepa kodi. Nimefurahi kuona hii risiti moja ya EFD inaonesha amount niliyochangia serikalini.
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Unaweza kuangalia idadi ya meli zinazoingia Bandalini Dsm na Bandali Jirani ambazo ni shindani. Hii itonyesha kama kweli sisi hatupati meli au tunasema tu bila kuwangalia...
1 Reactions
74 Replies
11K Views
Hey there, Do you really know you can make money in oil and gas in Tanzania,even you have nothing to sell? Here's how it works. I've strong feeling you know that some of oil and gas business...
0 Reactions
1 Replies
769 Views
Habari za majukumu wakuu? Kwa mwenye contact za watu wanao dili na mifugo pale uwanja wa ndege wa Dar naomba anipatie nina shida ya muhimu sana nao
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Hivi kampuni zipi credible and preferably international zinafanya storage ya dhahabu hapa Dar kabla kupelekwa nje? Je serikali inayo storage zak?e na rates kiasi gani kwa wiki au kwa mwezi? Je...
0 Reactions
3 Replies
883 Views
Wakuu nahitaji kujuzwa jinsi kutuma repoti ya mauzo na manunuzi ktk mashine ya risiti yaani kutuma z repoti.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…