Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 16 “Traditional risk management simply fails to account for the fact that the most dangerous risks are those which occur infrequently and don’t...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Ndugu habari ya majukumuuu? Jaman mi niliamua kuanzisha mradi wangu wa kufuga wa kienyeji na sasa unaendelea vizur sana... Nipo katika mpango wa kuuboresha zaidi wa kununua eneo pia na kujenga...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kaka yangu amehamishiwa dodoma, ameniachia shamba la ekari zaidi ya 10 huko mkuranga (mwarusembe), nataka nifanye kilimo cha kisasa. Shamba hilo lilikuwa pori kubwa tu but nimelifyeka tayari na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mpendwa Ndg kama nilivyo eleza hapo juu, nina kitalu cha Madini Gypsum, ukubwa ni hekari 15 kimelipiwa vibali vyote, nahitaji mtu wa kushirikiana naye leseni tayari ninayo, soko liko wazi muda na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Gold and Silver and Bitcoin analyses for the month of September 2016. Please read more here: Monthly Technical Reviews on Gold, Silver and Bitcoin (September 2016)
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Umesomeka kwamba usajili wa biashara umeongezeka sana nchini Rwanda na Kenya hasa kwa wawekezaji kutoka Tanzania na watalaam wa mambo wanaona kama ni kukimbia visasi vinavyo tolewa na serikali...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Great thinkers, Wenye uzoefu na nyumba zinazojengwa na shirika la nyumba la taifa NHC watufahamishe, je zina kiwango cha ubora wa kutamani kununua badala ya kujenga mwenyewe? Nimejaribu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu humu ndani wapi wanatoa mikopo ya haraka kwa mikoa ya mwanza???
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nina samaki aina ya Sangara wabichi, nimekuwa nauza ila bei zijaridhika nayo kwa wasafirishaji wanaopeleka Dar ....nataka kupata wanunuaji wangu niwe nawatumia mzigo mimi mwenyewe kiasi chochote...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Za jioni wadau, Leo nimepatwa na mshtuko na mshangao nilipokwenda TTCL kutuma fax kwenda Antwerp. Niliambiwa hakuna huduma hiyo kwa sababu mitambo mibovu. Tunajinasibu kwenda mwendo kasi, na sasa...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Kila mlima unaokutana nao mbele yako umebeba Siri ya Mafanikio yako. Linda Moyo wako "Usinung'unike" Kutokana na magumu unayokutana nayo katika mizunguko yako. Lakini ufundishe moyo wako Kuamini...
8 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Dar es Salaam, wenye shida au kuhitaji huduma ya kupuliziwa dawa za kuua wadudu (fumigation), majumbani au maofisini, godown na stoos za vifaa, mazao na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu habari! Nina wazo la kufungua biashara ya kuosha magari apa dar,je natakiwa niwe na mtaji kama kiasi gani ili niweze fungua medium class carwash. Nawasilisha wadau
1 Reactions
1 Replies
4K Views
UMEWAHI KULIPWA PESA HUKU UKISOMA VITABU ??? (Have you ever earned Big money While Reading Books) Nimechunguza matajiri wengi zaidi Tanzania na duniani kote kwa kweli nimebaini kuwa wengi ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Ni matumaini yetu kwamba nyote mu wazima wa afya. Kwa mara nyingine tena tungelipenda ku-share nanyi juu ya kile kiitwacho Nguvu za Kiushindani Katika Biashara (Competitive...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina million 5 za kitanzania, Naomba mnishauri nifanye biashara gani ambayo itanikifisha mbali kwa mtaji huo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ningependa kuuliza ivi kati ya ufuta (wa mviringo) na vireja ambavyo vyote huwekwa dukani na kuuzwa sh 100 kwa kimoja. JE KIPI KATI YAO HUPENDWA SANA NA WATEJA?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni kweli vituo vya Radio na Television vinaendeshwa kwa kutegema matangazo na udhamini wa vipindi tu? Hivi vituo vingi ni vya watu binafsi tena zaidi ni wafanyabiashara. Sasa kupitia...
7 Reactions
23 Replies
11K Views
hebu wataalamu wa uchumi waje watusaidie je dola itazidi kupanda au itashuka nataka kusevu baadae nije kuuza
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom