Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nini utajiongezea ukiwa kama oriflame consultant? 1) Utajifunza jinsi ya kutumia bidhaa na training mbalimbali za urembo ambazo ukienda saluni au kufundishwa lazima ulipie hela ndefu lakini huku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu ambao mpo kwenye Sector hii naombeni msaada wakujua jinsi ya kupata mkopo wa kujenga ,changamoto zake, gharama, na vinaitajika nini ili upate mkopo?(Business Proposal).Tuna sehemu nzuri...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habarini wadau, Nina ndugu yangu mmoja ana malengo ya kutajirika kufikia levels za akina Manji, Mengi, Bakhressa etc ni mbahili kiasi cha kwamba amejibana mpaka kanunua used scania moja tu ya...
1 Reactions
45 Replies
10K Views
Kwa wale wenye nia ya kweli na wanaotaka kufanya biashara katika mazingira yenye uaminifu, kkuna mchina yuko tayari kusponsor biashara yako, isipokuwa kwa sharti moja , malipo yafanywe kwa bank...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau Habari za jamvini. Nina jengo langu maeneo ya kibaha picha ya ndege ambalo ni mahsusi kwa kupangisha. Nimejaaliwa kuongeza vyumba vitano ambavyo vimekamilika tayari kwa kila kitu isipokuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
My personal view.... ++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++ The recent revelation by the CRDB bank CEO that his bank has embarked on cut back measures on its...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF nimekuwa naendesha biashara ya Bar muda Mrefu na nimekuwa mnywaji wa bia sana sasa kila nikilewa napata matatizo ninapofika Nyumbani na kila ninapotafakari matatizo ninayoyapata...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish EURUSD went upwards 200 pips last week, testing the resistance line at 1.1350 before the current shallow retracement...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Mwenye weledi wa biashara ya ufugaji ya kuku wa nyama naomba anifahamishe mana mtaji wng ni 1000000.
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Hello Team, Download Now: Herewith attached is the "National Baseline Survey Report: Micro, Small and Medium Enterprises in Tanzania (MIT, 2012) as prepared by the Ministry of Industry and Trade...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habarini Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa nchini nanaenda kumaliza chuo sasa lakini nmepata wazo la biashara pale chuoni, nahisi sijachelewa sana Wazo: Nmeamua kuanzisha biashara ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Za saahiz vijana wenzangu, Polen na majukumu ya kujenga taifa. Samahan naomba tafadhali mwenye kujua utaratibu mzima wa kupata nembo ya shirika la Viwango (tbs) kwenye bidhaa unayoitengeneza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kusema kweli bahasha kama hizi zinaweza kupokelewa na Waziri wa Elimu na BAKWATA wenyewe.
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Habar za Leo banduku?ni matumaini yangu mko salama kabsa,Mimi ni mwenyekiti wa kikundi flani cha ujasiliamali,tumepata mfadhili anataka kutufadhili kikundi ametuambia tuandike MRADI,sasa...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habari wadau .. Eti bidhaa yako inakua na faida gani kuweka barcode? Na hiyo barcode inawekwaje na gharama zake zikoje?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 15 “It seems that these days few traders are interested in trading long-term. The monthly and weekly charts remain relatively unnoticed. Traders...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu na bihashara ya jogging club, nataka kufungua bihashara hii, muziki mkubwa na ukumbi tayari ninao.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau naomba mwenye ufahamu kuhusu machine ya kutengenezea mikate especially gharama na upatikanaji wake
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimejikusanya na wezangu tumeazisha kikundi ambacho kazi zake ni 1) kusindika mboga mboga na. kuzikausha kama mchicha ,matembele,kisamvu,nk 2)kuandaa unga wa lishe kama unga wa mtama...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Hivi hawa wanaotoa elimu ya ujasiriamali wanautajiri kiasi gani? na hawa wanaosema kilimo kinalipa tena mpaka wanatoa gharama zake na faida wao nao wana utajiri kiasi gani toka waanze. ASante
5 Reactions
48 Replies
5K Views
Back
Top Bottom