Habari za kazi wapendwa wa JamiiForums, nimepost hii mada kwa ajili ya kutafuta mtu ambaye ana uzoefu wa kuomba vibali vya import mamlaka ya chakula na dawa.
Kuna bidhaa ya matumizi ya kawaida...
“In my experience trading takes a very important and somewhat rare personality trait which is: the ability to see the next logical step and to then get it done. If this ability is lacking you will...
Juzi kwa mara ya pili nimepigiwa simu na mtu anaejidai kuwa ni mhudumu wa tigo pesa toka makao makuu, akidai kuwa anataka kunisaidia kuongeza kamisheni yangu. Ambayo anasema ilikatwa kimakosa...
Habari wakuu.
Natafuta mdau tushirikiane kazi ya usambazaji wa software kwa wateja wangu.
Sifa
1.Awe amemaliza kuanzia kidato cha nne
2.Awe mchapa kazi
3.Elimu ya book keeping ni sifa ya ziada...
Heshima Wakuu,
Naomba ushauri wenu nataka kuanzisha NGO.
1. Christian NGO
2. Itakuwa Mtwara
3. Itakuwa kwa ajili ya kuwasaidia watu kielimu (education center, Church, Chrisitian fm Radio)...
Nafikiria kuanzisha clinic au hospitali. Ila sina pesa , nafikiria kuanzisha vijicenters vidogo vya kupika na kuuza mihogo hii ya kukaanga na chachandu ili kuongeza kipato cha kila siku baadae...
Habari wanajamii forum,
Kwa mda mrefu nimekua nikitafakari juu ya fursa ambazo zinapatikana.
Binafsi nimeiona fursa ya kuanzisha Mashine ya kukoboa na kusaga mahindi ni fursa kwangu maana...
Ndugu watanzania, najisifia uwezo wangu uliomkubwa ktk utunzi wa vitabu.Janga ninalokutananalo ni kuishi Tanzania.
Wabongo wenzangu hamko vizuri ktk kuwekeza ktk vipaji.Kwa sasa namtafuta kwa udi...
Nimejichanga huku na kule nimepata millioni moja mkononi, plan yang ni kufanya biashara ila sijajua biashara gani itanilipa vizuri. Napatikana Kibaha Mjini, nakaribisha maoni na ushauri pia juu ya...
Habari za majukumu wapendwa.
Ni matumaini yetu kwamba nyote mu-wazima na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu tukufu la Tanzania.
Leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya mada tajwa...
Wadau Nina mtaji wangu hapa wa shilingi million mbili nataka nianze biashara ya dagaa ya jumla wa ziwa Victoria.
Dagaa wa kukaanga, waliokauka kwa jua na pia dagaa kwa ajili ya kutengenezea...
Kuna mwalimu anahitaji mkopo wa kama Million 5, benki amepewa riba kubwa saaana, anataka kujua wapi atapata mkopo kwa riba nafuu na pia ajue utaratibu wa kurudisha kila mwezi.
Waungwana hamjambo!
Nane nane mwaka huu ilikuwa na mambo mengi ya kujifunza. Mimi niko pande za Mwanza hivyo nilihudhuria kwa siku tatu tofauti tofauti.
Siku ya kwanza nilijifunza kilimo cha...
wiki iliyopita wamefanya mzinga wa party pale mlimani kusherekea makampuni 100 muhimu zaidi Tanzania
mbona list wanaifanya siri?
Kulikoni KPMG au ndio mambo ya akina Arthuranderson?
Habari zenu wadau.Ninaomba ushauri kuhusu biashara ya kutengeneza kokoto,jee ni Mikoa gani ambayo ninaweza kuwekeza na kunilipa?
Natanguliza shukurani.
FURSA YA KUONGEZA KIPATO
HELPING HANDS INTERNATIONAL-Tanzania
Helping Hands International (h2i) ni utaratIbu unaoshughulika na kuwawezesha washiriki nafasi ya kimataifa iliyoanzishwa kwa shauku...
If you want to see a change in your life then you must be that change. Now everything depends on you and your actions only. If your in Tanzania and you want success in your life join...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.