Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

UKWELI KUHUSU MSHAHARA. 1. Epuka kugeuza mshahara wako kuwa mali ya ukoo. Kamwe mshahara wako siyo mali ya ukoo. Siku utakapoacha kuufanya mshahara wako mali ya ukoo ndipo siku mshahara huo...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamii nawasalimieni. Ninauhitaji mku wa sana wa kujua jinsi ya kufungasha maziwa (packaging). Nipo eneo zuri linalozalisha maziwa lakini soko ni baya. Nikifungasha nadhani nifanya biashara na...
1 Reactions
0 Replies
972 Views
Za asubuhi. Nauliza hawa wanawake wanaofagia maofisin wanalipwa shi ngapi? na kwa nini ni wananwake tuu why not men? Wana elimu gani? Nazungumzia ofisi za serikali tuu.
0 Reactions
7 Replies
860 Views
Habari Wana familia Ninashida na BIZONET (sina hakika kama nimepatia hiyo spelling ) Ila hutumika katika kusindika bidhaa mbali mbali kama juice,jam nk Mara ya mwisho niliipata sido songea ila...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
:(:mad::confused: Hii kweli heshima kitaa yaani hazina wamezuia OC watu njaa mtaani halafu supplier unasupply kwa selling price unalipwa baada ya miezi 3 ahahahaa yaani tusiponyooka mwaka huu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nafikiria kuanzisha clinic au hospitali. Ila sina pesa , nafikiria kuanzisha vijicenters vidogo vya kupika na kuuza mihogo hii ya kukaanga na chachandu ili kuongeza kipato cha kila siku baadae...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wana JF... Leo tengeneza tomato source. MALIGHAFI 1.NYANYA ZILIZOIVA VIZURI KILO MOJA NA NUSU (SIO MASARO) 2.VITUNGUU MAJI 3 (VIKUBWA KIASI) 3.MAFUTA YA KUPIKIA VIJIKO 6 VYA CHAKULA...
9 Reactions
23 Replies
7K Views
Salaam wandugu, kupitia kampuni yetu fulani tumeanzisha gazeti ambalo linatoka mara1 kwa mwezi ambalo tunalisambaza kwenye mkoa mmoja tu, na lengo letu ni kwamba liwe linapatikana kwa wauza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni entrepreneur nakopesha mitaani kwa riba nataka kusajili hii biashara yangu ili niweze kulipa kodi naomba kujulishwa nianzie wapi na inawezekana kupata kibali cha kukopesha pesa kwa Riba?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tumeshuhudia juzi kat nchini kenya mirungi ikihalalishwa kama zao la biashara, vp kwa Tanzania na sisi tukihalalisha? ukizingatia tena zao hili ni la thamani sana na litachangia mapato vizuri...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau habarini, Wajuzi wa maswala ya kampuni naomba kujua kuhusu mtaji wa kampuni kimaandishi, ni faida gani na hasara gani ya kuweka mtaji mkubwa? Na hasara na faida ya kuweka mtaji mdogo? Na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana jioni niliingia kwenye duka la viatu vya mtumba mitaa KILOMBERO Arusha... Opp mahakama ya levolosi. Nilihitaji raba simpo tu ila nzuri. Duka lilikuwa limesheni viatu na yapo maduka kadhaa...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wakuu, naomba kujuzwa ni watu gani binafsi wenye kupokea wazi zuri Kabambe la biashara, ambalo labda umekwama kutokana na pesa kidogo. Wanaoweza kuwekeza Kuwa partners au hata mkopo mdogo. asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndiyo, wewe kama Mtanzania kama ulikuwa haufahamu unaweza kuexport bidhaa yoyote ile EU isipokuwa silaha bila ya kulipa kodi yoyote ile huko bidhaa iendako, hivyo ni juu yako wewe kutafuta pa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Jaman Wakuu mimi ningependa kufahamishwa ni taasisi zipi za binafsi zinazotoa mikopo ya kielimu kwa elimu ya juu chuo kikuu ukiachana na Tasisi ya selikali ya (HELBS) Na utaratbu wao wa marejesho...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair consolidated on Monday and went further upwards on Tuesday. Price moved upwards 130 pips, testing the...
1 Reactions
1 Replies
541 Views
Amani kwenu wadau wa ukadiriaji majengo naomba mnisaidie Gharama za kujenga Nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala (2 vya kawaida na 1 master bedroon) sitting room na dinning, jiko na toilet)...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimepitia hotuba yote ya bajeti ya kambi ya Upinzani pamoja na ile ya Serikali ya wiki iliyopita. Zote kwa pamoja zinafanana katika mtazamo wa namna ya kuondokana na tatizo la uhaba wa nishati...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom