Mm kijana niko.Arusha sina kazi ila niko tayari kutoa ushaur au wazo la kuendesha Au kuanzisha biashara Arusha ni mji wenye fursa nyingi ila sisi maskin atuna nyenzo hivyo niko tayar kufanya...
Hivi jamaa wa Nyanza bottles sifa zipi wanahitaj kwa mtu anayetaka kusupply soda as an agent for instance am in Serengeti and i wana be an agent then what i got to prepare also i need to knw much...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
The bias on this pair is precariously bullish. Price came down 120 pips on Friday, in the context of a weak uptrend. A...
Naomba anayejua gharama za kusafirisha container yenye mzigo 1x20ft kutoka Dar mpaka mbeya na kutoka Dar mpaka Mwanza,
mwenye kujua bei inayotumika kwa sasa anisaidie.
Heshima kwenu wakuu!
Nina idea ya kufungua kampuni ambayo itakua ikifanya kazi Tanzania kote ambapo kilimo kinafanyika.
Tatizo linalonikabili ni kukosa pesa, hivyo nakuja mbele yenu kuleta wazo...
Salaam wakuu wanaJF
Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha St Augustine kilichopo Muheza tanga ngazi ya cheti cha community health worker... nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya...
Ninataka mkopo wa haraka wa million 20 kwa kipindi cha mwezi mmoja mpaka 3.Ninataka kukopa FINCA ila sina Dhamana. Je riba kwa mwezi mmoja,miwili au mitatu kwa pesa hiyo itakuwa sh ngapi? Naomba...
TAPPING PROFITS WITH AN INTRADAY STRATEGY
“As traders, we should never stop learning, because the markets are never going to stop teaching. Continuing to learn is a vital part of becoming a...
Nimekutana na matangazo ya benki hii ya FINCA kwamba unaweza fungua account kwao na ukapewa interest ya 14% ukiwa ume diposit kuanzia 1 mil hadi mil 25, ukiwa juu ya hapo utapewa interst zaidi...
Habari wadau.naomba mtu anayefahamu utengenezaji wa chemichals za.chooni na tiles na sabuni za maji anicheck nahitaji sana kujua.au anipe maelekezo wapi wanfundisha kitaalamu kabisa.
Habari wakuu..
Tunauza na kukuletea kuku wa nyama popote ulipo Dsm na Pwani Kwa sh 6,000. Kuku ni wakubwa na fresh wenye uzito kuanzia 1.4kgs.
NB tunauwezo wa kukuletea kuku mmoja hadi miambili...
Habari wadau,
Ningependa kufahamu gharama za kufulia nguo kwa jijini dar es salaam ni sh ngapi kwa:
1. Suruali
2. Shati
3. Pensi
3. tisheti
4. vest
5. koti
6. shuka
Je, bei ipi itakuwa affodable...
Habari zenu wana Jf nilikuwa na ndoto siku moja niwe na fitness centre yangu kwasababu wanasema fanya kitu ukipendacho utafanikiwa zaidi.
Wana Jf kuna mtu yoyote anaifanya hii biashara au ana...
Wakuu nani anajua ufanyaji wa hii biashara je ni wapi watu hununua vitu ili waviuze kwenye stationery zao na ni vitu gani vinavyotoka zaidi.
Kwa ujumla biashara hii inafanywavipi, ndugu yangu wa...
Wakuu nimekuja mbele yenu naomba mwenye ufahamu zaid juu ya kanzisha kuendesha blog inaitajika mtaji wa shilingi ngapi NA ni vitj gani mhimu vinaitajika sanasana nitashukuru kwa msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.