Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Heri ya xmass wadau wa JF..naomba kama kuna mtu yoyote anajua jinsi ya kupata leseni ya biashara anipe maelekezo naanzia wapi. Asanteni. Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Jamani wana Jamvi naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya kuuza reem paper kwa bei ya jumla. Naomba kujua inalipa kwa kiasi gani na changamoto zake ni zipi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JF Nilikutana na mtu kabeba bidhaa zake alizonunua, nikamuuliza umenunua shilingi ngapi, akanitajia. Nikauliza umechukua risiti ya EFD akasema ndiyo na bila kumuomba akaitoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna makundi manne (4) ya watu wanaotengeneza pesa hapa duniani. 1. WAAJIRIWA. Hawa ni watu ambao kimsingi wanauza muda wao almost wote wa siku nzima kwa mwajiri wao na yeye anawalipa pesa kwa...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Nina million 1 sijui nifanyee biashara ganiiii inayoweza kukizi maitaji nina wake wa tatu na watoto tisa
1 Reactions
13 Replies
5K Views
nilinunua hisa kwenye UNIT TRUST OF TANZANIA( UMOJA), miaka kumi na kitu iliyopita. tofauti na hisa nilizonunua sehemu nyingine , mfano TANGA CEMENT NK, hii la umoja sijawahi...
1 Reactions
1 Replies
819 Views
HOW BILLIONARES THINK!! If your boss paid you 600,000 every month and you saved all that money without touching a coin, you would need to work for 36 months to get 21million. But if you...
8 Reactions
22 Replies
5K Views
habari JF, Mimi ni mhitimu chuo kikuu, na ajira ni tatizo kama mnavyojua sasa nafiliria kuhusu kufanya biashara ya chakula kama MCHELE, UNGA, nitoe mbeya nipeleke Dodoma, naomba ushauri wenu.
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Wadau habari!kwa wale ndugu zangu wenye uzoefu na soko la kuku wakienyeji katika masoko ya Dsm hasa Shekilango,Manzese,Tabata na Kisutu, Naomba wanijuze kama kuna uwezekano wa kupata soko la...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa, Ni matumaini yetu kuwa nyote mu wazima, leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya dhana ya ubora wa bidhaa/huduma na jinsi gani kuhakikisha huo ubora Biashara nyingi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bullish Gold moved upwards in the first few days of July and then began to consolidate to the downside. The downside consolidated was conspicuous from July 13 to 27...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25.Baada ya kutafuta maisha bila mafanikio kama kuna mwenyeji wa bumbile , Makibwa, goziba, anidokeze yafuatayo 1. maisha yalivyo na mazingira ya kule 2. fursa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hizi ndio ajira zisizotaka akili wala nguvu nyingi,ni kwa kiasi kidogo tu cha mtaji waweza kuanza na ikakulipa mara 5 ya mtaji unaowekeza na kila siku unapata pesa nyingi zisizo na ushindani wala...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Natumai mu wazima wote naombeni kufahamishwa bei ya vitu hivi kwa wanaovifahamu bei zake.Tv ya LCD inch 42 na 52 aina ya Sony na, Tv ya LCD inch 42 na 52 aina ya Samsung.tafadhalini nisaidieni...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Salaam wakuu wanaJf Mimi ni mwanafunzi katika chuo Kikuu Ardhi, mwaka wa tatu. nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kuuza na kupark na kusambaza mbogamboga na matunda...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Ninahitaji kununua kifaa tiba fulani toka katika kampuni ya Maya medical equipment limited yenye anwani hii hapa:No 10, Haiyue building ,HaiBin garden, Shangjiao Dashi town, Panyu...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Morning wadau,naomba kuwe na jukwaa la hisa ili kutoa taarifa na kujua zaidi kuhusu hisa hapa hapa jamii forum
1 Reactions
0 Replies
831 Views
Kupitia tovitu/website ya Benk Kuu ya Tanzania wamesema sarafu zote zilizowahi kutolewa na Benki hiyo bado zinatumika. Hivyo tu'hamasike' kuzitumia. Source: Bank of Tanzania (BOT): Home Page ...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nasikitika sana kuandika hii complain, maana imenifanya niichukie kazi ya uwakala wa vodacom m-pesa kutokana huduma mbovu nilizopata kutoka kwenye kampuni kubwa kama ya vodacom, kwanza customer...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za Wikiend Wadau, natumai mko poa, nafikiria nijihusishe na Biashara ya Mpunga, lakini sio katika kununua au kuuza mpunga wenyewe, bali kuvuna au kukoboa mpunga wa watu wengine. Yaani...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Back
Top Bottom