Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naombeni ushaur kidogo natalajia kuingia chuo 1st yr mwez wa 10 mwaka huu cjajua ntapangiwa wap ila my target ni UDSM na ARU ss nafikiria nikifika chuon nifanye biashara sasa cjajua nifanye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Anaitwa Mohamedy Dewji, mjasiriamali mwenye nia ya kuinunua simba sporty club ili iweze kupiga hatua za kimichezo ona mikakati yake hapa na ndoto zake. Jina la mkurugenzi mtendaji na Rais wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair assumed a bullish journey last week, going upwards 230 pips. Price topped at 1.1195, closing above the...
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Naomba kusafishwa namna mtu anaweza kuafika katika maduka ya nguo pamoja na viatu nakuja kuuza Tz. Unatakiwa kuwa na angalau sh ngapi kwa ajili ya safari, malazi na manunuzi ya mzigo. Anayefaham...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni hivi majuzi tu Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda aliunda tume kuchunguza sababu za kufeli kwa wanafunzi wa Form Four iliyopelekea kuwa na matokeo mabaya nchi nzima. Tunakuomba Mheshimiwa...
4 Reactions
58 Replies
10K Views
Habarin za. Muamko ndugu zangu,Kwanza kabisa nachukua nafas hii kumshukuru mungu kwa kutupa pumzika na kutupa afya njema na waliohospitalin mungu awatie wepes ktk malazi yao yote. Kila anaepewa...
9 Reactions
57 Replies
6K Views
Habari wana JF. Naomba mnifungue macho kuhusu kulipa kodi kwa mkupuo na kulipa item kwa item. Mimi mdau katika hii biashara ya Suzuki carry ambapo ninalipa Income Tax kwa kila gari inayofikia...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
WanaJF habari, Nina Suzuki Carry nataka kumpa Dereva ambaye atakuwa akiniletea malipo kila baada ya wiki moja.Mimi si mzoefu sana katika biashara hii hivyo nimejaribu kuwauliza watu mbalimbali...
1 Reactions
34 Replies
10K Views
SUPER TRADING STRATEGIES – TAPPING THE HIDDEN RICHES IN THE MARKETS “One of the best ways to learn about anything is to read about it. Books, articles. Even just marketing pages. Find out what...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Wakuu ninatumaini mpo poa sana Kutokana na hali ngumu ya maisha na watu wengi kukosa sifa za kupata mkopo nimekuja na wazo kwa wale waliopo mwanza wwnye biashara ndogo ndogo au walioajiriwa...
0 Reactions
4 Replies
910 Views
Naamini nitakuwa nimepata jukwaa huru la kushare kile ambacho kipo kwenye mind yangu na kinasumbua kwelikweli. Wadau ninaomba msaada wa mawazo kati ya haya mawazo mawili, kupanda miti ekari...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Abu Dhabi. Kutokana na utamaduni uliojengeka kwa nchi za Falme za Kiarabu, uwapo wa vivutio na ukarimu kutoka kwa wenyeji ni mambo ambayo yameifanya Abu Dhabi kuwa sehemu muhimu kwa utalii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii ni baada ya kufuatilia trend ya masoko kwa zaidi ya miaka minne mfululizo. Ni hivi, kuna bonde moja liko kati ya wilaya za Mpwapwa na Kilosa, linaitwa Lumuma. Pale kwa sasa wameanza kuvuna...
9 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu naomba tujadili kwa pamoja baadhi ya fursa ambazo wajasiriamali tunaweza kuzipata. Michango yenu inaweza kuzingatia SWOT ANALYSIS ili mtu anapoandaa project plan yake iwe virahisi zaidi...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu wadau. Nimekuwa nikitafakari namna watu wanavopata shida ya kupata msosi kwa wakati wanaotaka wao na nikagundua kuwa kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mathalani mtu anaweza taka...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Katika huo wa mradi wa Tundwi-Songani Kigamboni Dar watu tulilipishwa pesa taslimu kwa ajili ya kiwanja/viwanja; sasa ni karibu mwaka mzima umepita baada ya kupeleka picha na deposit slip...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Mimi ni muhitimu wa chuo kimoja wapo apa nnchini katika ngazi ya diploma, nilikua nawishi siku moja niwe moja kati ya wajasilia mali wakubwa apa nchini ila tu Tatizo linakuja pindi tunapofikia...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Nilikua naitaji kufahamishwa na kupewa maelezo ya utendaji kazi, faida na hasara kuusiana na biashara ya mtandaon ijulikanayo kma referral kma cjakosea
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Wakuu mi nahitaji nigandishe mtindi kwa njia zakawaida kabisa nyumbani kwani sina uwezo wakuwa na kiwanda. Kama kichwa cha habari kinavyo someka ninaomba kufahamu kwa wajuzi wa hili...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasalaam wakuu, kama kichwa kinavyojieleza,nina haja yakuanzisha biashara ya kuuza madawa ya binadam( nmefikiria zaidi ile ya kuuza jumla pharmacy) ila ata reja reja wazoefu nisaidieni Naomba...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Back
Top Bottom