Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Interview with Tanzanian media mogul Reginald Mengi One of Tanzania’s richest businesspeople sees hope for end to graft Read next: Tanzania’s new president promises to shake things up July 13...
1 Reactions
0 Replies
981 Views
Habari wana jamvi. Naomba kuuliza Nina mpango Wa kuanzisha biashara ya kuwa agent Wa ving'amzi vya Azam,dstv n.k NA kuanzisha Kituo cha Max Malipo kwa Luku n.k Mkononi Nina 3m Je hiyo inatosha...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Tanzania Permanent Secretary for the Ministry of Information Communication Technology Prof. Faustin Kamuzora has applauded Huawei Device Tanzania for their continuously initiative to satisfy...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Unapopeleka barua yako ya kuomba kulipwa malipo kwenye kampuni uliongia nayo mkataba kulipana kila mwisho wa mwaka lakini wewe ukawa na shida kabla ya ule muda mliokubaliana kampuni itachukua muda...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Naam, jitihada zako mpendwa Rais mstaafu tunaziona. Sasa tunaiomba Serikali ya Mheshimiwa Magufuli isikubali utajiri huu wa nishati mpya kuhamishwa na badala yake wawekezaji waje kufungua...
17 Reactions
126 Replies
12K Views
habarini wakuu.. Natarajia kufanya kilimo cha mahindi ya bisi, vipi soko lake liko wazi kupatikana? Na Pia, ni imaharage yapi yanauzika sana sokoni? Naombeni kusaidiwa..
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Nafikiri this is not bad kwa wale ambao hawapendi high risk business,huko BOT wahindi na makampuni ya nje are making the killings,average of 10% with low risk sio mbaya,ila kuna mengi ya...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa watumiaji wote wa egg incubator na wateja wetu wa MGE.tunawakaribisha ktk group la mwakalinga general enterprises ili mjipatie elimu na ujuzi jinsi ya kutumia incubator na uleaji wa vifaranga...
0 Reactions
4 Replies
38K Views
Mgeni Rasmi, Meneja wa Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo SIDO mkoani Mwanza, Damian John Changa, akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji, katika ufungaji wa Kongamano...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu, Kama kuna mtu yuko tayari, nina shida na mkopo wa 3M, Narudisha 3.5 M ndani ya miezi 3. Dhamana kadi ya Gari (Nissan Civilian). Kama upo tayari ni PM tafadhali. Asanteni.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naombeni msaada jamani, Naendesha biashara yangu ya ushereheshaji ila nafahamika eneo dogo na napenda kuipanua zaidi kufikia ngazi ya mkoa ama mikoa nifanyeje kujitangaza na kuongeza ujuzi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CLOSED
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii imekaaje wakuu..... The International Arusha Gemstones, Jewelry and Minerals fair ended at Mount Meru Hotel in Tanzania’s northern tourist city of Arusha at the end of October, but against a...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wana jamii? Naomba kufaham kama kuna mtu yeyote yule aliefanikiwa kupata mkopo wa BOA bank, Nasikia kuna urasimu sana katika kupata mikopo kupitia bank hii je ni kweli hizi taarifa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mikataba mingi Tanzania imekuwa ikilalamikiwa. Walalamikao wamekuwa wakituma shutuma na tuhuma za kukosa uzalendo na ubinafsi upande wa Watanzania wanaotuwakilisha kwenye mikataba hiyo. Hoja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika harakati zangu za kujikwamua nimekutana na hii asasi www.kopa-mali.wapka.mobi/index.php ml nimesoma maelezo Yao ni mazuri kwakweli. Ila naomba kwa mwenye kuwafaham tupeane uzoefu kidogo..
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wakuu, ni biashara gani ambayo ukiifanya kwa mkoa wa Arusha inaleta faida nzuri na risk yake ni ndogo, nahitaji ushauri wenu sana. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Za Muda wakuu, Msaada wakuu, Nimechanga changa hela sasa nataka ninunue bodaboda mbili na niwape vijana waniletee hela kwa siku au wiki, sasa naomba wakuu na hasa wenye biashara za bodaboda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kikubwa nachotaka kieleweke ni huu msemo "jali mteja na sio pesa" kama tujuavyo kila mfanyabiashara lengo lake ni kuuza kwa wingi bidhaa zake, ili uuze sana lazima uwe na wateja wakutosha,ili uwe...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka jana TFS ( idara ya misitu), walikamata kontena zaidi ya 60, wakituhumu ni magogo ya tz! Mpaka sasa wameshikilia kontena zile na imethibitishwa kontena zilitoka Zambia siyo tz! Mpaka leo...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Back
Top Bottom