Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ninaomba ufafanuzi wa kupata comission ukiwa wakala wa huduma hizi.Kama Kuna calculation yoyote ya Namba ya kupata comission.Tafadhali kwa anaefahamu.
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Wadau naombeni ushauri nataka kununua Mabati yanayotengenezwa na kampuni ya snow leopard building materials ya yabata segerea. Nimeona bei zao zipo fair na nimevutiwa nao ila sijajua ubora wa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral This market merely went flat throughout last week; neither closing above the resistance line at 1.1150 nor going below...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Kwa Kamishna Mkuu TRA, Ili kutekeleza azma ya Rais kuhusu ukusanyaji wa mapato, naomba kutoa mchango wangu na mapendekezo kama ifuatavyo:- 1. Ukusanyanji wa kodi za ndani ni wa kizamani mno...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa Nimekuwa nafuatilia mtandao wa kusafirisha mizigo hasa toka nje ya nchi nikaona kuwa tunayo Lulu kama sio dhahabu tuliyo lalia nayo ni shirika la posta; Hili shirika lina mtandao mzuri...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu wa JF natumaini mko poa. Ninatumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu kuhusu baadhi ya waajiriwa ambao hawasongi mbele kimaendeleo bila kujua sababu inayowafanya wawe hivyo. Wakuu...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
When new traders move into the arena of trading they face several functional difficulties such as how do markets work, what are the subtle difference between markets and most importantly how does...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Habari zenu wana JF, mwenye kufahamu soko zuri ya ruby nut..ni mawe(madini) yanayo uzwa kwa kg ani pm.kana mnunuzi au middleman anajua soko tupeane info tuone kama tunaweza fanya biashara.nna...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Kuna hawa wanaitwa Wekeza Saccos wanasema wanatoa mikopo online wako Dar. Anayewafahamu plz naomba information zao. Je ni wakweli au ndo wapigaji?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu salaam, Ki msingi mtu unapokuwa na biashara kubwa hasa inayofanya kazi kwenye mfumo wa kampuni, pamoja na mambo mengine unatakiwa uwe na vitu (3) ili ufanikiwe. 1. Mtaji (2) Maono...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Karibuni!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hesima kwenu Wadau wa JF. Nina wazo la kutengeneza chaki na kuziuza mashuleni. Sasa naomben msaada, CHALKS MOULD INAUZWA SHILINGI NGP?(umbo la kutengeza chaki) AU MASHINE INAUZWA SH ngp? Na ni wap...
0 Reactions
14 Replies
14K Views
Wadau wa humu, habari Nina wazo la kuanzisha private investigation firm hapa Tanzania...kwa wale wenye clue naomba mnijulishe yafuatayo 1.Mazingira ya kisheria 2.Prospective challenges za hii...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Unaweza soma makala nyingine nyingi za uwekezaji na ujasiriamali kwenye tovuti ifuatayo: Uwekezaji na Ujasiriamal(Bofya Hapa) Hatua ni umbali kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine au kutoka...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada wenu kwa yeyote anayejua gharama halisi za uchimbaji wa kisima(kirefu) cha maji
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Wataalam wetu wa uchumi, kwa sasa kodi inayokusanywa ni trillion 1 average. Lakini kwa hali ilivyo na inavyoonyesha kuna kila dalili kwamba inaweza kushuka mpaka billion 600. Swali langu ni je...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajf naomba mniondoe ushamba kijana mwenzenu. Kuna rafiki yangu yupo Kenya anataka kunitumia salio/fedha, naomba kufahamu njia atakazotumia yeye kunitumia hizo fedha. Vile vile mnielekeze jinsi...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
what more can i say.. the figures and fact all out there for everyone to see. plus oil kenya economy will surely reach GDP US $250billion by 2030. can someone help me to post that table here...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Habari zenu! Mimi niishawahi kukaa Morogoro - Mang'ula, nilijuana na watu wengi, pia nilijua fursa ktk kilimo cha mpunga mahali pale, ni rahisi sana kwa laki kama mbili, hii ilikua kipindi hicho...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi naomba nilete hoja hii mezani kwa mtu yyte mtaalam wa kutengeneza simple Data base apige namba 0625520125
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom