Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hello wakuu...habar zenu, kwa wale wajasiriamali wenzang na my fellow vijana wanaowaza kujiajiri na wale ambao wamesha anza kujiajir na wame advance katika stage nyingine tusaidiane kupeana dili...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi If you look deep into Tanzania’s oil and gas sector, investment and business opportunities are immense. Sadly, most of us (Tanzanians) don’t know how to access such opportunities. Is not our...
2 Reactions
1 Replies
864 Views
Available data from the EAC secretariat show Kenya investments in Tanzania top $1.2 billion (Sh108 billion) as of April this year, making it the second foreign investor after Britain. In the...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni wakala mgeni Kwahyo sijawahi kubadili float Kwa line 2 Tatizo langu Kuhusu kwenda bank kubadili float ili kupata cash Nliende crdb nikaone usitoe pesa km hauna kitambulisho...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Wadau naombeni kujua ni process gan nifuate ili nipate leseni ya biashara
0 Reactions
13 Replies
14K Views
habari wanajamvi, kuna shindano flani nimeshiriki na nimeshinda, ila zawadi zao wanatoa kwa gift codes za amazon.com, nimeshaingiza hiyo gift code kwenye account yangu ya amazon, ishu inakuja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nikihitaji kuvusha gari taka Zanzibar kuja Tanzania bara kwa kutembelea kwa mwezi mmoja utaratibu upoje na gharama zake? Msaada wakuu. Asante.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu, Naomba kujua gharama za kuingiza mzigo hasa unaohusu vifaa vya solar na betri zake kutoka Urusi.(Estimation of tax) nini wanachokiangalia wakati wakitoza kodi? Nina jamaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi, Niko kwenye ukumbi wa BOT hapa jijini Dar es Salaam ambapo kunafanyika kongamano kubwa la kibiashara kati ya India na Tanzania ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu. KONGAMANO LA...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wadau? heshima yenu wote. Naombeni kujuzwa juu ya namna ya kuanzisha magazine, natakiwa niende wapi na vitu gani katika mamlaka? na pia naomba kufahamishwa printer yupi anafanya kazi nzuri...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari Wada! Naomba ushauri wenye. Najua humu ni kama jungu kuu. Nataka kununua mabasi yangu mwenyewe ya mwendo kasi, niyatumie jijini DSM kusafirisha abiria. Mabasi haya nataka kuyapitisha...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanajukwaa habari ya muda, Naomba kuuliza, huduma ya mpesa unakuwa na line moja ya kazi au lazima uwe na laini mbili Mwenye ufahamu tafadhali anijulishe
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa yeyote Aliye mwanza au anatembelea Jiji la mwanza napenda kumkaribisha endapo atahitaji usafiri wa kumzungusha kwa shughuli zake.basi awasiliane nami kwa namba 0742265564.atapata usafiri wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
By ERICK KABENDERA Posted Saturday, July 9 2016 at 13:14 IN SUMMARY Background Shell officially acquired the BG Group stake in a $55 billion deal , touted as the biggest energy deal in more...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Wakuu naombeni ushauri,maelekezo na changamoto kwenye biashara hii Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba ufafanuzi namna ya kupata line hizo Na faida zinakuwa vipi kwa mfano ukiwa unamtaji wa 1,000,000 Na Unao wateja wakawaida wakutoa Na kuweka kwa mwezi commission unaweza pata kiasi gani?.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Kampuni ya JC&MD CONVERGENCE MEDIA LTD, wachapishaji wa Jarida la Matangazo na Habari GLOBAL LINK ADVERTS wanayofuraha kukufahamisha mambo ya fuatayo÷ 1. Toleo la kwanza la Global Link Adverts...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kufahamu exchange rate ya dola ya marekani kwa shilingi yetu. Yeyote aliyepo mwanza tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom