Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

wapendwa habari zenu naomba mnipe ushauri milioni 3 nianzishe biashara gani ndani ya mbeya
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Karibu magomeni makanya tuje kuihudumia gari lako na kulirudisha kwenye muonekano wa awali.
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Kila kitu kinaanza na wazo. Nimeona ni fursa kuwekeza katika matofari ya block huko Dodoma nikiamin kutakuwepo na ujenzi wa majumba mbalimbali kukabiliana na mahitaji ya majengo mbali mbali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu Naomba mwenye ujuzi kuhusu biashara ya ununuzi wa madini ya sapphire na ruby yaani ublocker na ushauri kuhusu uchimbaji wake..e.g vifaa na ufundi wa ziada Nawasilisha
1 Reactions
1 Replies
739 Views
Jaman nimemalza chuo na natak nikalime ufuta kwetu Songea na Tunduru mkoan Ruvuma , natafuta mtu w kufinance or joint venture , me npo tayari kupiga kaz
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za jioni wapendwa, kwa heshima na taadhina ninaomba mchanganuo na ufafanuzi kwa mtu mwenye uelewa juu ya utumaji wa bidhaa , Ninaadhimia na kupenda sana kupanua soko langu langu la Nafaka...
1 Reactions
0 Replies
793 Views
Sarikali ijiandae kuanzisha usafiri wa uma ili kuondoa usumbufu kwa wananchi na wafanyakazi hii itakuja saidia sana huko mbeleni Tuchangie kuanzia na njia zipi
0 Reactions
1 Replies
911 Views
With 4m users, Kenya leads EA in access to Internet services By MICHAEL OUMA Kenya has the highest number of people accessing Internet facilities and services within the East African Community...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Hivi CRDB wa taanza kutoa lini mikopo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
AUS200 Dominant bias: Bearish AUS200 dipped at the beginning of August, and moved sideways till last week, when it went down significantly. The bias has turned bearish, and unless price goes...
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Kuna watu wanawaza mema juu yetu na watoto wetu. Ninashauri tuangalie hii initiative, tuifuatilie ili tunufaike na mali asili zetu!. Ninaomba tukishaisoma na kuielewa, tumwambie mtu mwingine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kama kuna kiwanda cha vifaa vya vifungashio (packaging products) vya aina yeyote ile hapa kwetu Tanzania.
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Ni taarifa ya mshtuko mkubwa kama ni kweli, nimepenyezewa hapa kuwa Kampuni ya vinywaji ya TBL-Mwanza inataka kuhamishia Uganda shughuli zake kwa madai kuwa soko la vinywaji nchini limeporomoka...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Nahitaji matrekta ya MF mapya au used. Tafadhali anayewafahamu mawakala anijulishe wakuu.
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Salaam wakuu, Kila siku huwa napita maeneo haya lakini sijawahi kujiuliza swali hili. Bahati mbaya au nzuri tulipita maeneo haya na mdau mmoja tukapata wazo fulani lililopelekea kujiuliza sehemu...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Wakuu Nina mpango wa kuanzisha Duka angalau linisaidie kuzungusha kamshahara kangu haka ka ualimu.Nahitajiwa nifuate taratibu zipi ili nifungue duka? Pia natakiwa niwe na mtaji wa shilingi ngapi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nataka kuanzisha biashara itakayotoa huduma ya kudesign na kuhost websites nimeona godaddy na hostgator wana package ambazo zinakuwezesha kuhost unlimited websites ningependa kujua kama...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu Amani kwenu.. Tumejipanga na kujidhatiti kwa ajili ya kutoa huduma bora na safi kwa kwa kiwango kizuri. Si huduma nyingne Bali ni Chips kuku, chips mayai, chips Mishikaki, na vikorombwezo...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Napata shida kujua nani wanapanga ushuru wa magari yanayoagizwa toka nje huwa wanatumia vigezo vipo. Mfano unaweza ukanunua kwa bei mliopatana ukifika nchini wanaikataa bei ulionunulia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish EURUSD went bearish last week, closing at 1.1152 on Friday. Bulls made serious effort to push price upwards on Thursday and...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…