Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wanabodi, Niko kwenye ukumbi wa BOT hapa jijini Dar es Salaam ambapo kunafanyika kongamano kubwa la kibiashara kati ya India na Tanzania ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu. INDIAN...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Naomba mwenye uzoefu na kitu hicho anipe utaratibu.Nimeamua nataka kuwa mfanyabiashara.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Tafadhari rejea somo hapo juu, Nina biashara ya guest house iliyosajiliwa na TRA na mamlaka ya serikari za mitaa, lakini nyumba si yangu mimi nimpangaji na ninashida ya pesa ili kuboresha biashara...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu nawezaje kucheki deni la gari linalodaiwa na TRA wakuu kwa simu?
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair moved sideways last week, with no major bearish or bullish movement, though the overall bias remains bearish...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Salamu Wapi hapa dar naweza kupata tausi kwa ajili ya kufuga, nauliza pia ni kuwa inaruhusiwa kufuga tausi? Na bei ya tausi mmoja ni sh ngapi??
0 Reactions
94 Replies
39K Views
Wadau wenye ujuzi wa kutengeneza packaging material naomba msaada wamawasiano, hatakama unafahamu wadau wanao weza Ku Fanya kaz iyo pia, itakuwa msaada mkubwa kwangu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu, Naomba kwa anaejua, je ni benk au taasisi gani ya kifedha inayotoa mkopo bila ya riba.Mungu atuongoze.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nitakuwa nmekosa fadhira kama ntaacha kutoa shukrani zangu za dhati kwa wana Jf,Mara ya kwanza niltoa post yenye kichwa packaging and labelling nikiomba msaada kwa watu wenye ujuz na mambo hayo...
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Wadau, Naomba wajuzi wanisaidie nina nyumba yangu-unfinished nimeshaezeka na kuweka magrili ila nimekwama kibiashara.Nahitaji mkopo ila sina hati nina barua documents za mauzo kutoka serikali za...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nataka kufanya biasha za mojawapo kati ya hizi mbili lakini zote kwangu ni mpya naomba ushauri kwa waliopitia na chengamoto zake (1)Duka la vifaa vya piki piki (2)duka la juma la vyakula na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN amewataka wafanyabiashara na viwanda vyote nchini kutumia alama za utambulisho wa bidhaa, MSIBOMILIA (BARCODES) hapa nchini badala ya kutumia alama hiyo kutoka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
CEO Azam Media Rhys Torrington , mwenyeji wa Uingereza amejiuzulu wadhifa huo na kuhamia Econet Media inayomilikiwa na Mzimbabwe , Strive Masiwiya.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 12 “If you see a strategy that has a good track record. This is not about a quick buck. It's not about one trade, or even one day. It's about...
0 Reactions
0 Replies
510 Views
USDJPY = Sell AUDJPY = Sell CADJPY = Sell CHFJPY = Sell EURJPY = Sell GBPJPY = Sell NZDJPY = Sell NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
naomba msaada wenu, nitumie njia gani wakuu?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari. Nina ombi, nahitaji msaada wenu. Nataka kuanza biashara ya kuuza maji kwa kuweka tank la maji sehemu na watu kuja kununua kwa ndoo. Naomba msaada kwa mtu yeyote mwenye uzoefu na biashara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu hii bank ya kimea imekuwa ngumu mpaka sasa kunipa access ya Online transaction sasa je nisogee bank ipi ambayo ita link card yangu easly na online transaction, Equity gharama na taratibu za...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimepewa shilingi million kumi (10) kama mirathi ya kifo cha marehemu baba yangu sasa nifanyie kitu gani ili kujikwamua na maisha haya.
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Kampuni ya RECB Limited inamiliki leseni Na. ML 237/2006, ML 238/2006 na ML 239/2006 kwa ajili ya kuchimba madini ya niobium kwenye mradi wa Pandahill huko Songwe (Mbeya Vijijini) Matumizi...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…