WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 9
“As a trader, the brutal truth is that you only get paid for your results. There is no 'time and a half', or over-time rates. We live in a...
Kuna wimbi jipya hapa mjini linaniacha nacheka sana
Biashara imekuwa ngunmu sana na mzunguko wa pesa ni mdogo hivyo wafanyabiashara wengi wameanza kufunga baadhi ya biashara zao na kurudisha flem...
Wana JF, Salam zangu kwenu !
Tafadhali naomba kama kuna mtu humu JF amewahi kununua na kutumia mtambo wa SIMGAS kuzalisha gasi kwa matumizi ya kupikia nyumbani, atuambie ufanisi wake. Isije...
Global investors and funding institutions in control of more than US$200 billion US dollars will meet in Dar es Salaam in July for a three-day investment forum to explore business and investment...
Katika mishe mishe zangu vijiweni na masokoni nimekumbana na malalamiko ya kuadimika kwa noti/sarafu ya Tsh. 500. Kwa wale wajuzi wa uchumi sijui hili mnalizungmziaje???
Pia wanadai note ya Tsh...
Kama ilivyo duniani kote kuwa nguzo muhumu ya kuamua kufanya jambo lolote kwa umahiri mkubwa na lenye faida kuu kwa jamii tunahitaji kufanya utafiiti .
Leo ni siku ya utafiti ya chuo kikuu cha...
Wakuu,
Naomba kufahamishwa ni wapi naweza kupata cement ya dangote kwa bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam.
Ni vyema pia kama utanipatia na bei yake kwa jumla.
Ahsanteni.
Ambacho Magufuli haelewi ni kwamba anakimbiza wafanya biashara. Kwenye nchi zilizo endelea hauoni raisi yeyote anaye watisha wafanya biashara. Hii ni hatua itakayo fanya sukari iwe bei zaidi...
Nina mtaji wa 100000Tsh nataka kuanza biashara ya viatu/sandles za kimasai,kila kiatu kwa bei ya jumla ni 10000,mimi nitauza 15000 hadi 13000.Naomba msaada wenu wa ushauri na changamoto za...
Nimeona vituo vyake kadhaa vya chakula Kule Masaki,Sinza,Fire na shekilango nadhani.
Ukiacha wa kule ushuani sijui masaki ambao upo vizuri mingine naona inazorota.
Mfano sinza alianza kujenga...
About Big One Enterprises
Big One enterprises(logistics )
Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama,mda,usumbufu katika sekta ya upauaji,tumejikita katika kuokoa gharama na kumpunguzia mteja gharama...
This table summarizes the procedures and costs associated with setting up a business in Tanzania
http://www.doingbusiness.org/ExploreTopics/StartingBusiness/Details.aspx?economyid=185
HELLOW GUYS, MI NIPO MAFINGA...NINA GUNIA 300 ZA MKAA, NITAKUUZIA KWA 15000Tsh.. gunia lina ujazo wa debe saba, ww waweza uza kwa bei ya chini mfano elfu thelathini kwa dsm na ukapata milion 9...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.