Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

(Unaweza isoma makala hii na nyingine nyingi za uwekezaji na ujasiriamali kwenye tovuti ifuatayo: Uwekezaji na Ujasiriamali ) Changamoto walionayo watu wengi sio kuanzisha biashara au kuanzisha...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
(Makala hii na nyingine nyingi zinapatikana pia kwenye tovuti ifuatayo: Uwekezaji Tanzania(Bofya hapa) Katika ulimwengu wa leo kupatikana au kutokupatika kwa biashara yako katika mtandao wa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii, kwa vipindi tofauti soko la saruji Tanzania limekuwa na bei tofauti za Saruji ila tatizo sijui ubora wake, mathalani wamekuwa wakitumia 32.r kuwa na bei ndogo ukilinganisha...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Ninaomba kujua kuhusu hilo wakuu. Radio ni mojawapo ya biashara ambazo zinawafaa vijana kama wewe na mimi wandugu. Ninaomba unitafutie kampuni zinazofanya supply na kufunga vifaa na program...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Mara kwa mara nimekuwa nikitumia kituo cha lake oil karibu na st. mathew sekondari,na ni mwezi mzima sasa tangu april wanasema mashine ya efd mbovu na taarifa ziko TRA,ukiwabana wanakwambia paki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi binafsi kwa ukakasi wa maisha nimeona bora nilime lkn nikiwa na maono ya kuwa supplier mkubwa nchini na nchi za Jirani hususani katika restaurants na hotels... Kwa kuwasambazua Nataka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii forum ni benk ipi nzuri hapa nchini naweza kukopa hela na yenye riba nafuu
1 Reactions
60 Replies
17K Views
Habari wanabodi, shida yangu kubwa ni kujua namna biashara hii ya ukoboaji ngano, kusaga na kupack kwenye mifuko na kuuza hapa bongo inavyoenda. 1. Ikiwemo changamoto ya kupata Ngano, (bei yake...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Nina Contract ya kazi as independent Consultant katika sekta ya ujenzi, nimepata changamoto ya fedha kuendelea na hii kazi kwa kiasi fulani nimekwama, nafikiria kuomba mkopo bank wa mda mfupi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Vijana wenzangu, kuna kampuni ina husika na masuala ya miradi na biashara ukiingia kwenye website yao utaona. kama una mtaji na unataka kujua biashara nzuri au mradi mzuri wa kufanya, ingia kwenye...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Wakuu heshima zenu, Kipi bora kati ya kununua bajaji moja ya biashara au pikipiki tatu za biashara. Naombeni mchongo wa mawazo Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau kwa wenye uzoefu wa hii biashara ya kukodisha magari hususani Noah naombeni mnipe uzoefu. Je, ni kwa namna ipi naweza kutengeneza customer base. Pia ningependa kujua profit margin yake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MAFANIKIO YAPATIKANAYO KUTOKA KATIKA KAMPUNI YA 4CORNER ALLIANCE GROUP(NETWORK MARKETING). Biashara ya hii ya network marketing ni biashara iliyo katika mfumo unaokupa nafasi wewe mjasiriamali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish Last week, EURUSD went downwards 110 pips, just as it was projected. There is a bearish signal in the market, which...
1 Reactions
0 Replies
718 Views
Habari, Ndugu wanajukwaa, nategemea wengi wetu tunaifahamu hii mifuko hasa tuliopo kwenye soko la ajira, watu wengi hasa tulio kwenye kampuni binafsi huwa tunapigia mahesabu michango unayoweka...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nianzie wapi ili niweze kupata eneo la kujenga kiwanda kidogo cha alizeti ushetu? Maana nimesikia kuna swala la uwezeshaji ..huu uwezeshaji nitaupatate kwenye swala la kuanzia ambayo Ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Caymans rank third among foreign holders of U.S. debt Hedge funds domiciled in Caribbean territory drive trend Share on FacebookShare on Twitter Share on LinkedInShare on RedditShare on...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Helen Keller alishapata kusema "Alone we can do so little; together we can do so much", na bwana Henry Ford yeye alisema "If everyone is moving forward together, then success takes care of...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu zanguni? Kwa kawaida bei ya bidhaa ktk supermarket za Jeshi hutofautiana na bei za mitaani. Mara yangu ya mwisho kununua sukari ktk supermarket zao ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom