Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

I. Price Chart II. Average Price Watch The Average Price Watch is solely to determine how price deviate from the closing price. If the closing price is higher than the average, it implies the...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Ndugu wana jf wenzangu, naombeni anayejishulisha na mada hapo juu aweke contact hapa ili wanajf tufaidi pamoja fursa zilizopo na zinazotarajiwa. asaanteeeeeee
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha na kusajili Consultancy firm.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kampuni moja ya uingereza inatarajia kuweka kifaa kinachodhibiti matumizi ya fedha kwa kuwapatia wateja wake mshtuko wa umeme iwapo atapitisha kiwango cha matumizi yao. Kampuni ya Intelligent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani habari zenu.. naomba kuuliza bei za mashine ya kukoboa na kusaga na zipi ni ainaa nzuri zinazodumu??
0 Reactions
20 Replies
6K Views
habari wandugu naomba kuchangia jambo moja hili la kuongeza kodi hili kulinda uzalishaji wa ndani..katika economics esp Trade economics hili swala limeongelewa sana sana...na katika watu...
2 Reactions
3 Replies
921 Views
Watu waliogundua uwezo walionao, upekee na umaalumu na kuutumia kwa manufaa yao na ya jamii yao ndio waliofanikiwa zaidi kwenye ulimwengu wa leo. Vipaji walivyonavyo vimegeuka kuwa mashine ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF Naombeni msaada wa upatikanaji wa brokers wa hisa za tbl na swisport kwa hapa dar es salaam
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za shughuli, kinywaji hiki kinauza sana hapa Tanzania. Lakini mbona katika Soko la hisa hakionekaniki kama wanafanya biashara yenye faida au ndio tabia yetu kufanya biashara bila rekodi au...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
I. Technical Analysis on weekly chart. Technical analysis summary The weekly price chart technically shows a very huge potential USDTZS pair to correct the upward bullish rally that started...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimekuja naomba msaada wa mawazo. Ni nawaza kusafirisha samaki wakavu nchi za jirani kama Kongo, aliyewahi kufanya biashara hii nisaidie mawazo
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Salamu za mwezi mtukufu ndugu zangu. Naomba kuchukua nafasi kuulizia kwa wale wenye uzoefu, kuhusu malipo ya wakili pale unapotaka akusimamie mkataba wa mauziano ya nyumba, kuna kanuni yoyote...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mkuu, mara kadhaa nimesoma Mada kuhusu Hisa, na elimu ilitolewa ilinifikisha mahali pa kudhani kuwa nimepoteza. Kama yupo anayejua lolote kuhusu Kampuni hii anisaidie kwani nina Hisa zangu tangu...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Eti nikweli cement ya dangote imeshaanza kusambazwa mikoani na inauzwa elifu kumi tu mm nipo singida lkn s
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Villagers spared eviction as Tanzania halts $500 million energy project to save wildlife Mon Jun 6, 2016 4:27pm GMT By Kizito Makoye BAGAMOYO, Tanzania, June 6 (Thomson Reuters Foundation) - In...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Naleta kwenu wadau. Kuna rafiki yangu mmoja mfanyabishara. Alilipwa fedha zake kwa hundi (cheques). Drawers' Bank ni za Marekani na mlipwaji ni Mtanzania. Aliwasilisha hundi zake kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
niko katavi nimeajiriwa kwenye kampuni fulani,mshahara kwa mwezi sh 300000 tatizo nashindwa kupanga bajeti hata hivyo nina mke na mtoto na nimepanga vyumba 2 vyote kwa sh 50000,nisaidieni jamani!
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Kuna Video inazunguka kwenye whatsapp ikionyesha wabunge Heche na Magdalena Sakaya wakiishutumu Fastjet kwa "kuwaibia" wateja kwa kutoza gharama za maji na mizigo, n.k kwa bei kubwa. Nimeona...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
AUS200 Dominant bias: Bullish This market is in a precarious situation. While the bias on it is bullish, bears are very active in it the present, and this has made short-term bearish signals to...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Wakubwa habari, mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2016, sijachaguliwa JKT, kwa sasa nipo Dar, nini nifanye kwa mtaji wa laki moja ndani ya hii miezi kabla ya kwenda chuo, Msaada wenu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom