Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nina eneo la eka 14 lina hati miliki, lipo moshi kilometer 4 kutoka barabara kuu ya kwenda Dar na umbali wa kilometer 5 kutoka moshi mjini.. eneo linaangukia ktk halmashauri ya wilaya ya moshi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau... nafikiria kuanzisha biashara ya buchery ya nyama na samaki wa maji baridi hapa Dar Es Salaam. Mpango ni kuwatoa samaki mwanza na kuwaleta hapa Dar es salaam. Tafadhali mwenye...
1 Reactions
0 Replies
512 Views
Wana Jamii forums kwa anae elewa taratibu za kuanzisha NGOs kwa Tanzania ambayo inafanya kazi nje ya nchi lakini wanahitaji kuwa na tawi kwa Tanzania,naomba kujuzwa taratibu zinazotakiwa kufuata...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Naomba kufahamishwa jinsi ya kutoa alets za new updates kwani zinasumbua hata usiku wa manane zinakuja hivyo kuleta mstuko
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina shida na foil containers kwa anayejua kiwanda cha kutengeneza foil containers hapa nchini tafadhali anielekeze kilipo na kama una details za ziada kama bei n.k pls nisaidie
1 Reactions
0 Replies
3K Views
In response to the oil and gas boom. Some Tanzanian entrepreneurs have built their business by offering products and services __ such as human resources , safety equipment, supply, and logistics...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!! Bado tuko na brand yetu ile ile pendwa Vodaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Haya sasa Voda NKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII? BUT WHY? Naona...
3 Reactions
40 Replies
9K Views
Nduhu zangu naomba msaada wa kuweza kufaham bei na kiwango cha faida kwa kuuza luku.kwa machine za max malipo na selecom
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu heshima zenu, Nina madini ya red garnet, nilikuwa natafuta soko kwa haya madini.Mwenye ufahamu ni wapi nitapata wateja ili niweze kufanya nao biashara. Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari zenu wadau , kwa pamoja naomba tujadili uendeshaji mzima wa taasisi za kiraia ( jumuiya zisizo za kiserikali) . Hapa nataka tujifunze mambo mbali mbali kuhusu taasisi hizo na tupate uzoefu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Samahani naomba kuuliza gharama za mashine ya kukamua mafuta ya alizeti kwa anayejua , pia nitafurahi ukiniambia ni aina gani ya mashine ambayo ni nzuri . mimi nipo Dar lakini...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair simply moved sideways in the first few days of last week – a result of deadlock between bulls and the bears...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
all Tanzania we have right to know what is going on......................TIS WERE ARE U HELP US It looks like finally the battle between FinCEN and FBME Bank Ltd. is coming to an end. FinCEN...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu watanzania je tunayajuwa haya? mbona bot haifunguki ktk haya mimi napita ila uzi wote huo apo chini? reff The downfall of FBME Bank - Legal Floris | Legal Floris The downfall of FBME Bank...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba wazo jamani nataka nijiajiri katika Huduma hiyo ya max male po sambamba na kuuza umeme na Vifurushi vingine msaada mwenye uzoefu niwekee namba nikupigie tafadhari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This mortgage loan calculator - also known as an amortization schedule calculator - lets you estimate your monthly loan repayments. It also determines out how much of your repayments will go...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Otherwise, you can ignore It, Go on about your life. This post does apply to 99.9% Tanzanians out there. I’m looking for very specific kind of person Specifically…… People who are keen to join...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Ninahitaji kununua pikpiki Mbili aina ya San LG naomba kujua bei iko vipi uko kwenu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TANGAZO: WADENI SUGU WA NGUVUMALI KARAGWE KUFILISIWA Mwenyekiti wa Chama cha Nguvumali Farmers Cooperative Society Ltd, cha S.L.P BOX 518 Karagwe Kagera, anawataarifu wadeni sugu wa chama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 8 “Try not to do something just because everyone else is doing it. Successful traders are rare. If the crowd is doing it, watch out!”- Andy...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…