Wajasiriamali katika sekta zifuatazo inawahusu!.....
Elimu
Mashirika ya kitalii
Mashirika yasio ya kiserikali (NGOS) na yakiserikali
Biashara ya hotel
Biashara ya maua na miti
Biashara ya samani...
KUKURUPUKA NI SUMU KWENYE BIASHARA.
Ni kweli kabisa mtaji unao, na shauku unayo na mpango unao bado usikurupuke.
Mara nyingi sehemu kubwa ya watu wenye nia njema wanashindwa kutekeleza nia zao na...
ALMOST all government institutions and parastatals have transferred funds deposited in commercial banks to new accounts at the Bank of Tanzania (BoT) as per directives by the government issued...
Habari zenu?
Natumaini mu wazima wa afya, napenda kuwajulisha wajasiriamali wote popote ulipo, kwa sasa tunaanza na wale waliopo jijini DSM, kuwa tumefungua ofisi zetu pale Mwenge,Tunatoa Huduma...
NDANI ya banda kubwa lililoezekwa na kuzungushiwa plastiki maalum katika Mtaa wa Kinyerezi Zimbili jijini Dar es Salaam, Dk. Sophia Mlote akiwa ameongozana na mtaalamu wa kilimo, Bw. Abdon Hamaro...
Huawei Device Tanzania recently held its first key nationwide Dealer’s Congress focusing on growth plans for Huawei Device Tanzania and the regional partners in the Tanzanian market. Held on...
Earn money investing in the latest online technology: Real Time Bidding(RTB).
Earn over 1% daily on your investment or 150% in 3 months.
13% Refferal commission.
10% Binary commision.
Contact...
Kwa kuwa kila mwanadamu anataka maendeleo, basi ni dhahiri kwamba huu mchezo unasheria zake, ambazo wachumi hawataki kuwafundisha raia wengi wa dunia, they call it money game.
Moja ya sheria...
Jana nimesikia kupitia taarifa ya habari kwamba kuanzia leo kutakua na mauzo ya hati fungani(bond) kupitia ma bank.
Nijuavyo mimi mfumo huu utaendelea kupunguza mzunguko wa shilingi kwenye...
Kwa sasa serikali iko kwenye mkakati wakuanzisha viwanda nchini hili ni wazo zuri na kama litasimamiwa ipasavyo litatuvusha.Hatuwezi kuzungumza habar ya viwanda bila kuigusa hii taasisi muhimu...
Tanzania, tanzania.
Urithi nilioachiwa na Mama yangu.
Fahari yangu ya asili.
Imegeuka ukiwa.
Wageni wameimaliza.
Wasiokuwa na uchungu wanacheka,.
Tanzania nchi yangu.
Wapi ulipoangukia...
Habari Za Leo? Kama nataka Kuuza Hisa Zangu nilizonunua maendeleo bank utaratibu uwa inakuwaje ? Na ninaenda kuuzia wapi? Hisa zipo registered Dar Es salaam stock exchange (DSE)
Habari wakuu, nimepata wazo la kuanzisha kampuni ndogo itayokua inajishughurisha na kazi za rangi Tu, kupaka rangi kwenye Majengo, Nyumba za Makazi ya watu n.k, Na hiyo Ni kuanzia Wall painting...
MTU yeyote akitaka kujiona jinsi alivyo atakimbilia kwenye kioo na kujitazama ama atapiga picha kwa kamera na kujitazama ama kumuomba mchoraji amchore ili ajione jinsi alivyo.
Kuna picha mbili...
Kwa yeyote mwenye kutaka kufungua kituo cha radio kwa masafa ya FM .Transmitter na STL yake zinapatikana kwa 30 Million CIF Dar es salaam
Just PM Me for more info
Kijiweni sometimes kuna mambo mazuri ya kujifunza ila usikae sana, kaa kama sababu zipo.
Kuna jambo lilikuwa linanitatiza sana hapo awali, kwa nini wengine wana hela na wengine hawana, je...
Naomba msaada kwa mwenye draft ya katiba ya kikundi cha kijasiriamali, tutajihusisha na kilimo cha mbogamboga na matunda. Tunatakiwa kusajiliwa na kufungua akaunti.
Naomba msaada tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.