Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bullish Gold was quite choppy in the first three weeks of April 2016, characterized by short-term upswings and downswings, all in the context of an uptrend. In the...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Wanajamvi kwa mwenye utambuzi juu ya hili, iko hivi Mke wangu ni mmilki wa duka la dawa muhimu za binadamu na amekua akiliendesha tangu mwaka 2009 sasa mwezi wa 11 mwaka huu aliomba mkopo bank ya...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
(Makala hii na nyingine kama hii zinapatikana katika tovuti ya: Uwekezaji Tanzania) Sokoni ni eneo ambalo wauzaji wa bidhaa na wanunuzi wa bidhaa hukutana kubadilisha thamani vitu. Katika...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habarani waheshimiwa, nipo hapa kuomba ushauri na mtazamo wa kitu ninchotamani kufanya, mfukoni nina mtaji wa laki 8 na ninataka kufungua biashara ya kuuza chipsi, kwa eneo lolote la dar ambalo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kama kuna anayejua mahali mashine hizi zinauzwa hapa nchini, nahitaji mashine ya kichekecha unga (vibrating sieve machine)
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish The EURUSD moved upwards 230 pips last week – an action that has resulted in a Bullish Confirmation Pattern in the...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Jinsi ulivyo sasa ni matokeo ya fikra zako juu yako,jiulize unafikiria nini juu yako,juu ya familia yako, uchumi wako na biashara yako. Fikra ni jumla ya vitu unavyofikiria kichwani kwako...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina fremu yangu ya duka lakini sina mtaji na kukodisha sitaki kwa sababu pesa ndogo kukodisha, nafanya kazi lakini sina mtaji wa kulifunguwa. Je Nikope?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jamii naomba michango yenu apo kwa kutaja vifaa nq garama zake mziki wa ukumb kama watu 150
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari ya leo waungwana, naomba mwenye uelewa juu ya kitu kinachoitwa kodi ya ongezeko la thamani almaarufu VAT, ni kodi inayopaswa kulipwa na nani na kwa utaratibu upi, pia naomba kujulishwa ni...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Russia hopes to clinch a deal with Tanzania in the coming days to start extracting uranium on an industrial scale in the country’s south in two years, the Russian industry and trade minister said...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Andika la ubunifu wa mradi ambao unafaida kwa jamii, ambao unatekeleza moja wapo ya malengo 17 ya maendeleo endelevu duniani. Wazo lako litapigiwa kura na watu mbali mbali kwa njia ya mtandao na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Could I be totally honest with you? Now is the great time to build wealth and fortune in Tanzania’s gas by taking advantages of opportunities brought about by weak oil price Yes, if you don’t...
3 Reactions
0 Replies
780 Views
A few weeks ago , we heard lots of talks about the viable routes for Ugandan crude oil export pipeline. And it was the hot talking point in Tanzania’s petroleum industry, East Africa perhaps...
1 Reactions
0 Replies
718 Views
Salamu ziwafikie wanajukwaa wote! Mimi ni mvulana wa miaka 26, nina Bachelor degree of science in food science and technology nimegraduate mwaka jana (2015). Mzazi wangu mmoja (baba) ameshafariki...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi sasa wafanyabishara wakubwa wameacha kuagiza mali wakiangalia kwanza hali ya uchumi itakuwaje chini ya serikali ya rais JPM. Hii ina maana kuwa kuna fedha nyingi sana majumbani mwa watu hao...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 7 “Of all of the lies my traders tell themselves, the one that shows up the most frequently is “I don’t think I can do this.”– Louise Bedford...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Benefit from the 7th Technological Evolution that is happening right now, the hottest Innovative Investment Asset Class in the Financial World There are about 6 evolutional technologies that have...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi karibuni niliagiza bidhaa kutoka nje ya nchi,nashukuru imefika salama,nimepewa gharama za kodi za mashine husika na cost za delivery order. Kulichonistua ni hapa kwenye gharama za delivery...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Military & Defense April 28, 20:14 UTC+3 Earlier Irkut held talks on sales of the medium-range MS-21 airliner to Egypt and South Africa DAR ES SALAAM, April 28. /TASS/. The Irkut corporation and...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Back
Top Bottom