Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau wa JF! G12 kama kawaida yetu tunakuja na habari za ukweli kila siku. Tangazo:- Tunatatengeneza magari aina ya Pickup SUV,Tricycle,Mini moke,VAN(Mini bus), n.k. Tunatafuta watu katika nchi...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau hiyo ndio bajeti yangu hapo juu, niende showroom gani kati ya Dar au Mwz naweza pata gari ya kutembelea… .
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimeangalia website za Japan zinazouza magari kama Beforward na Tradecarview sijaona Toyota Landcruiser Amazon, labda nna makengeza. Kwa mwenye uelewa anijuze ni site gani naweza kuona gari hii.
0 Reactions
6 Replies
6K Views
USDJPY = Sell AUDJPY = Sell CADJPY = Sell CHFJPY = Sell EURJPY = Sell GBPJPY = Sell NZDJPY = Sell NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Bila shaka mu wazima wakuu, Kama kichwa cha somo cha jieleza naomba wauzaji wa vyombo vya muziki(music instruments) walioko zanzibar hasa key boards na booster tuonane hapa tafadhali. Nakaribisha...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Mimi ni digital marketing freelancer(SEO, Social, Email, PPC + Web Analytics)je ungependa kujua chochote kuhusu sales, marketing, advertising, n.k. We uliza tu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
http://tzexchange.blogspot.com/2015/11/tanzania-bank-issues-first-ever-retail.html Exim Bank Tanzania on Monday issued to the public the first ever retail bond in a move designed to raise...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Watu wengi wamekuwa wakiwa na hamu kubwa ya kupata kazi, mara wapatapo kazi wamekuwa wakibweteka na kuishia kuwa na mawazo madogo ama plan ndogo yaani ya kuwa tu na nyumba na gari. Yaani wengi...
19 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu,naomba mwongozo wenu ni wapi naweza kupata kampuni au mtu anayeweza kunichimbia visima kwa ajili ya umwagiliaji shambani,mahali ni Dodoma na kwa vile shamba hakuna umeme ningefurahi...
4 Reactions
24 Replies
10K Views
When Shaquille O'neal was drafted into the NBA, he spent the first million that he earned within 30 minutes. O'neal then received a phone call from his banker, who scolded him, and told him that...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau heshima kwenu, Nina wazo la kuanzisha camp ya watalii katika barabara kuu za nchi yetu , lengo ikiwa ni kuwa na eneo ambalo ambalo nomadic tourist (wale wanaotembea na magari masafa marefu)...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Watanzania wanao tumia mabenki kuweka fedha zao za akiba, wamehimizwa, wasiishie kwenye kuweka akiba tuu, bali watumie sehemu ya akiba kwa kuziwekeza kwenye hisa hivyo kupata fedha nyingi zaidi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwaka jana mwezi wa 10,nilianzisha biashara yangu ndogo kulingana na mtaji mdogo nilokuwa nao.kabla ya kuanza nilienda TRA ili nipate TIN,kisha leseni ya biashara.Biashara hiyo ni...
0 Reactions
14 Replies
15K Views
Habari za shughuli ndugu mabibi na mabwana. Nataka nieleweshe nini faida na hasara ya kufungua account za pesa za kigeni, ili kulinda pesa yangu kushuka thamani nataka kujua kodi, kiwango cha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu zangu,. Tangu mwaka 1971 pesa ilipoteza dhamani yake halisi pale dola ilipokua inathaminishwa na standard gold na silver,.tangu kile kipindi tunaona pesa hazina tena...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Najaribu kuangalia links za maduka china yanayouza sneakers but naziona ila sizipendi ninazoziona. Kama kuna mtu china hapa ama unauzoefu na sneakers naomba uniunganishe nione nitafikia wapi...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Foreign investors look towards Tanzania
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair was bearish last week. Bulls tried to push price upwards. But as a result of severe opposition from bears...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Wakuu mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita natarajia kumaliza shule mwezi ujao.Nikimaliza shule nataka nifanye biashara ya kuchukua dagaa nyasa toka kusini kuleta dar es salaam.Sasa je ni wapi...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari zenu wadau. Sekta ya gesi na mafuta inakuwa kwa kasi kubwa sana Tanzania.Hii ni kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya nishati hizi muhimu za gesi na mafuta. Na sekta hii inafursa nyingi...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom