Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nawasalimu wadau. Naomba kujua kama kuna bureau de change wanaofungua jumapili pale mlimani city.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
ni kampuni gani au blog gani ambayo inalipa kwa mpesa, tigopesa au airtel money endapo utashare habari zao kwenye akaunti yako facebook au kwenye blog yako?. nimeuliza maana nasikia makampuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wa dau kwa mwenye kujua range ya mlango mmoja wa plastic, upvc doors hasa ile special kwa bafuni au chooni inauzwaje kwa mmoja?
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nataka kufahamu vigezo vya kupata mkopo NMB (around 2m)
0 Reactions
2 Replies
5K Views
What are the best ways to serve my money?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hellow mambo vip wenzangu,naomba kupata mawazo na ushauri kuhusu biashara ya simu na mtaji unaohitahika.Nahua wapo wenye experience humu ndani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana FJ, Nimekua nikipata faida ya elfu 30 kwa siku katika biashara yangu ndogo ndogo lakini imekua ikipotea tu kwa matumizi madogo madogo ya hapa nyumbani mpaka nmewaza nifungue account...
3 Reactions
35 Replies
10K Views
Muda mwingine unaweza ukajiuliza kwa nini mteja au wateja Fulani siku hizi huwaoni katika biashara yako, unaanza kumtafuta mchawi ni nani katika biashara yako kumbe mchawi ni wewe mwenyewe ambaye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu niko tumbo joto naogopa kamtaji kangu kataisha nimepata vihela hapa, lakini wazo langu la kwanza ni kufanya biashara ya nyama pori niwinde niuze, naomba mwenye uzoefu na mwenye utayari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi jf members,in life people gifted into diffent ways. Others are born to rule others born to run. I have born to formulate business ideas. I have a lot of business i dear tht some of them are...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
“Although I’ve witnessed uncountable demo contests the world over, these are the most impressive results I’ve ever seen, despite the vagaries of the markets.”– Analyst75 Honestly, my plan for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mwenye kuifahamu kampuni mpya ya bima inayoitwa "Mifare", ninaomba anielekeze.
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Habari wadau ! Naomba kusaidiwa idadi ya watumiaji wa mitandao ya simu ifuatayo kwenye jiji la Arusha. 1) Tigo ........... 2) Airtel ............... 3) Zantel.............. 4)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Good afternoon, Warm regards from Fleet Monitoring systems Limited. Fleet Management Systems Ltd is an existing business that provides fleet Management Solutions (find attached a company...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Poleni na pilika za hapa na pale natumaini mko salama na maisha yanasonga kama kawaida. Nia na dhumuni langu ni kutaka kuwauliza wenzangu. Mimi nimekua nikifanya biashara ya kutembeza bidhaa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana bodi. Nimekuwa interested sana na biashara ya hardware pamoja na biashara ya workshop. (a) Workshop Workshop inaweza kuwa ya woodworks, Aluminium works, PVC works and Welding. (b)...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilipozuru Mwanza nilivutiwa sana na Beach zake safi na zenye mandhari nzuri kama pale Tunza Beach, Nyegezi pale SAUTI na nyingine nzuri tuu, Lakini zaidi ya hapo lile jiji lina Kisiwa maarufu kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu, Naombeni msaada wa wazo la kibiashara gani ya kufanya ambayo itanisaidia kukuza mtaji wa mil 3 nilizopewa na ndugu zangu baada ya kuona nimekaa muda mrefu bila mafanikio ya kupata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
11 Business Opportunities in Africa That Will Make More Millionaires in 2016 - Smallstarter Africa tupitie hii kidogo nice article for upcoming entrepreneurs [emoji108]
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom