Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu nimetumiwa pesa toka Europe, natumia majina 3, nimeenda Bank ya Posta wananambia Jina langu linasomeka tofauti kwenye System Yao, tofauti Na kwenye kitambulisho, kwamba jina la mwisho...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nawakaribisha tushirikiane katika biashara kwa mfumo wa kununua shares. (Share dilution) SECTOR: BUILDING MATERIALS/CONSTRUCTION FORM OF BUSINESS: PRIVATELY LIMITED COMPANY COMPANY EXPERIENCE...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari jamani? Mi ni kijana single, nafanya kazi sasa nimejikusanyia vimshahara vyangu sasa nina Milioni thelathini i.e 30mil katika account yangu ya benk. Nataka kuwekeza hvo vijicent , sasa...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Salam wakuu. Kutokana na kukua kwa teknolojia ya internet duniani, biashara,na huduma nyingi siku hizi hupatikana online aidha bure au kwa malipo kidogo kwa kuwa na ka-blog ama website.. Kwetu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ninauomba uongozi wa mfuko wa LAPF kutoa namba itakayotumika kujua na kuhakiki michango kwa wanachama wake.Namba hiyo itawasaidia wanachama hata kumbana mwajiri kama hawasilishi michango ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je kwa mshahara huo naweza kupata mkopo wa M 15! Ni muajiriwa wa serikalini.
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna jamaa yangu amepanda miti ya mitiki 105. Mpaka sasa imefikisha miaka 4. Anayejua soko lipoje?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa Mimi ni mwanafunzi wa chuo Nina mtaji wa million 1,biashara iliyo kwenye akili yangu ni kununua mtumba wa kiume grade one na kufanya retailing kweny hostels za vyuo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JE UNAFAHAMU KUWA TANESCO IMEPUNGUZA BEI YA UMEME NA KUONDOA TOZO YA KUTOA HUDUMA (SERVICE CHARGE) KWA WATEJA WA T1 KAMA ILIVYOONYWESHWA KWENYE JENDWALI HAPO CHINI KUANZIA TAREHE 1/4/2016...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tofaut ya "made in" "made by" katika bidhaa mbal mbal
0 Reactions
4 Replies
733 Views
Nyumba kubwa na ndogo ndani ya fence moja. Parking ya gari ni kubwa yenye uwezo wa accommodate magari hadi madogo manne. Nyumba kubwa ina vyumba vinne kimoja kikiwa ni master bedroom, sitting...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo katika kipindi cha Jahazi Clouds FM nimesikia tangazo la Airtel na Vodacom yakitangazwa katika kipindi hicho je inawezekana kwa washindani wamoja katika biashara kudhamini kipindi kimoja cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunacheza na fursa! Kulingana na joto kuongezeka mjini vinywaj baridi vimekuwa katika uhitaji mkubwa. Niliwaza kuwa na friza lakini nikagundua mali iliyoko haitamtamanisha mpita njia kwa maana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
28/03/2016 Tanzania Kunufaika na Sehemu ya Dola Milioni 750, Kuboresha Biashara Tanzania itafaidika na mchango wa Dola la Kimarekani Milioni 750, zilizochangwa na Taasisi ya TradeMark East...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu . naomba kujua kwa wenye uzoefu wa biashara, mtaji wa milioni 4 kwa hapa Dar unaweza fanya biashara gani ? Asante.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, Ninahitaji software hii. Kama mtu anayo tuongee biashara, nataka ya mtaani sio kuniletea ya ''dukani''
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Ndugu zangu habari zenu. Poleni na pilikapilika za hapa na pale za maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa iliyokuwa Tanganyika leo inaitwa Tanzania bara. pia poleni kwa maandalizi ya sikukuu za...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Tanzania Mortgage Refinance (TMRC) imetoa ripoti ya soko la mikopo ya nyumba Tanzania kwa mwaka 2015. Ufuatao ni muktasari wa ripoti ya TMRC; Soko la mikopo ya nyumba limeandikisha ukuaji mdogo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa hayo na mengine mengi utayapata katika kitabu chako cha "Zitambue Dira na Mizani za Biashara" kwa gharama ya 2,000 tu unajipatia nakala yako soft copy. Nicheki kwa namba 0713332606 whatsapp na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, nahitaj bajaj ya mkopo kwa muda wa miez 3 na nitatanguliza milioni mbili kwanza' . . Mwenye kampuni au mdau wa hizo kampuni aje tuongee biashara . . Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom