Tunaitwa Ubunifu Maridadi Foundation kutoka Songea, Ruvuma, Tanzania, Ni foundation ya Kibunifu yenyekujiendesha Yenyewe Ikiwa katika Faundation Yetu Ni bunifu hivyo lengo na dhamira ni kutafuta...
Wana Ukumbi, salam kwenu, mm ni mtz mjasiriamali mdogo sana, infact ndo naanza ujasiri. Nina maono ya kuikuza biashara yangu na kuwa ya kubwa. Sasa, naomba mnijuze, nini faida ya kujisajili na TIN...
Habari, nimekuwa nikisoma machapisho mengi sana hapa JF yanayohusiana na mbinu za ufugaji wa kuku wa kienyeji na nimehasika kufuga, kwa kipindi ambacho nimeanza kufuga nimeweza kugundua kitu kipya...
Mimi ni mjasiliamali ninae shugulika na biashara za takarejea kwa mfano Machupa na Plastic chakavu nimejitahidi nimenunua mota na machine ya kuchakata na kutoa vipandevipande.
Nguvu yangu...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
In the context of a downtrend, EURUSD consolidated throughout last week. One big formidable barrier to further...
habari za saizi wana jamvi..
hope wote ni wazima..
mim ni kijana nipo nasoma chuo mwaka wa tatu
nimepata pesa tsh. 1000000 nlikuwa nahitaj biashara ya kufanya ili nijiongezee kipato ili hata...
Ofer ofer ofer kabambe
WALLPAPER WALLPAPER WALLPAPER
sasa unapata Kwa 55,000/- tuuuuu
Wahi offer hii ndani ya this week isikupite
Upana 1/2m x urefu 10m
Call/whatsap 0713691101/0769633450...
Kuna mwenye uzoefu na mazda demio generation, 2 ya 2005, napenda kujua uimara wake hapa bongo na upatikanaji wa vifaa. Pia gharama zake kuitoa bandarini. Ina 1.3L, CIF $2000
Ndugu wana JF,mie na wenzangu tulipomaliza chuo tulikuwa na ndoto za kujiajiri ,yaani kuwa na kampuni yetu, ilituchukua kama miaka 2, tukafungua kampuni yetu tukiwa Directors 3, lakini baadhi...
Habari za jioni wana JF? Mimi ni mfanyabiashara, ndogo ndogo aina ya bidhaa ninazo uza ni bedshit, taulo, mapazia, n.k cha kushangaza nilikua nafanya biashara vizuri na kuniingizia kipato kiasi...
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 6
“We do not have a crystal ball, so we do not know when this current losing period will end. However, we can look in the rear view mirror and...
Habari yenu JF members, nina shida ya 1 million mwenye nayo naomba anikopeshe hata kwa riba nitashukuru sana. Dhamana ninayo kiwanja ila kipo Mwanza kina hati miliki. Please naombeni msaada wenu.
MATUMIZI ya fedha yanaongezeka kila kukicha wakati kipato chako ni kile kile, mshahara ni ule ule kila mwezi, lakini mahitaji yanaongezeka na majukumu yanaongezeka pia.
Kuongezeka kwa matumizi...
Kwa wale wanaohitaji kujiingiza katika biashara hii, natoa ushauri bure kabisa, mtaji wake ni mdogo sana ila marejesho ni makubwa.
Kwa kuanzia Laki 400 tu kwa mwaka, unaweza kuanzisha biashara...
Nataka kuagiza gari Japan lakini nataka niwahusishe maafisa wa TRA ili waone procedure zangu zote mpaka ninavyotuma $ 1600 ili niepukane na uplift zao za kupandisha mpaka dola $7000.
Je...
Wapendwa wana JF hamjambo? Nataka kuanzisha biashara ya Tigo pesa,m-pesa na airtel money.Nifuate taratibu zipi na niwe na mtaji wa kiasi gani? Naomba kwa wenye uelewa wa hilo anijuze
AS Tanzania Telecommunications Company (TTCL) plans to retrench 400 employees due to changes in science and technology, the Parliamentary Committee on Empowerment and Public Investment Capital has...
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Hard disk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.