Dubai-based Dodsal Group said on Monday (March 28, 2016) that it has discovered gas reserves worth an estimated $8 billion in Tanzania, which could help lift the eastern African nation’s economy...
Wakuu naomba mnisaidie kunitajia mashine za bakery ambazo ni nzuri na sio za kichina na wapi wa kununua?
Natanguliza shukrani nyingi kwa majawabu ambayo nitapata hapa.
ahsante.
Naomba kuuliza kwa wale wenye data za usahihi Kufeli au kufilisika kwa mabasi ya scandinavia ktk muda mfupi tu...Jamaa alijitahidi mno, na kila ukifika ofisi zake unaona bora kuliko kwenda...
BAADHI YA NJIA UNAZOWEZA KUTUMIA KUPATA WAZO LA BIASHARA AU KUWEZA KUJIAJIRI PATA ELIMU YA BURE
1. TUMIA UJUZI ULIONAO
Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano...
Salama wakuu,
Kwa million 7 Dar, unaweza kufanya biashara gani?Mdogo wangu muda mrefu hajapata ajira, hivyo nimeona ni vyema nimpe kidogo ili anishughulishe.Ni jinsia ya kike.
Nimeanza biashara pembeni ya mji kwa mwaka mmoja bila mafanikio. Nikahamia katikati ya mji mwezi wa sita sasa bado napata wateja wachache najiuliza au hii biashara ya vifaa vya umeme nayoifanya...
Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hapa jijini Mbeya kwa muda wa mwezi mmoja sasa.Nina uhakika wa kuwa naweka shilingi 200000/=kila mwezi.Nataka pesa hiyo niiweke kwenye mradi.Tatizo sijui...
“I realised that the best way to free myself from worries about uncertain outcomes, is to make sure a negative outcome of a specific trade will not affect me.”- Christiaan van der Meer
I...
Minister for Energy and Minerals, Prof. Sospeter Muhongo
Despite a public outcry over potential harm that uranium might bring to the environment and people in the designated mining areas, the...
Wana jukwaa ninashamba kubwa tu la miti ambalo naamini linaweza kuniwezesha kupata mkopo nikafanya mishe za kibiashara!!!
Naombeni mawazo yenu nifanye nini ili linipe mkopo!!!!
Mwanasaikolojia Anti Sadaka akitoa Mada kwenye Mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa Mkoa wa Dodoma yanayoendesha na Taasisi ya Manjano Foundation yanaoendelea kwenye ukumbi wa LAPF House...
Nataka kutunza fedha sh milion moja, Je ni taasisi ipi ambayo inaweza nipatia interest ya sh laki moja kwa mwezi kwa kiasi hicho cha fedha (sh mil moja)?
HABARI ZA ASUBUHI WANA JF NIMEJARIBU KUWAZA HAYA MAVAZI TUNAYOVAA SISI TZ KAMA TSHERT,SULUALI, SHATI,VIATU, N.K VIKICHOKA TUNAWEZA KUKUSANYA KUWEZA KUUZA,NJE KAMA TUNAVYOLETEWA SISI.
Usipite bila kusoma mahali hapa kama unahitaji Kubadilika na Kwenda hatua nyingine ya Kufikia katika Kilele chako cha Mafanikio makubwa; iwe Mafanikio ya Kiuchumi au kifedha, Kiafya, Kiakili na...
Nina shamba langu la miti kama 700 ambayo ina umri Wa miaka 6 naweza kuchukuwa kiasi gani cha mkopo kutoka crbd bank naomba kujuzwa utaratibu ukoje ili uweze kukopa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.