Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

NAAMINI UNAWEZA JIFUNZA KITU HAPA KATIKA UWEKEZAJI WAKO KIBIASHARA DUNIANI KATIKA LIST HII Rice in 2012 was the most valuable agricultural crop in the world. It was second to maize (corn) in the...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Dar-es-Salaam, 19 March 2016: After yet another successful pre-order campaign for the much anticipated Samsung Galaxy S7, the devices are launched in Samsung’s retail stores in Tanzania as of 19th...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Kuna wazo ninalo la kutumia coins (sarafu) kwa ajili ya kazi fulani. Coins nitazotumia ni za miaka ya nyuma zisizokuwa kwenye mzunguko. Sitaziharibu, lakini nitaweka sehem ambayo...
0 Reactions
3 Replies
935 Views
Serikali yaipiga marufuku bodi ya shirika la nyumba NHC kuhusu ujenzi wa miradi mipya ya kibiashara. Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.Willium Lukuvi amepiga marufuku bodi ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kila aina ya uwekezaji ili uwe na tija ni lazima kwanza miundombinu muhimu ya kuuwezesha kufanya kazi iwepo, bila hivyo tutazidi kushuhudia mitaji mingi ikipotea, na tayari tumeshuhudia biashara...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi niko kahama shinyanga, ni mfugaji wa kwale, natafuta soko la mayai ya kwale
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wapendwa, jamani naomba kama kuna mwenye utaalamu wa kukadilia gharama za kuchimba bwawa ka kufugia samaki lenye ukubwa wa takribani sq meter 1200 anijuze. nataguliza shukrani wanajamvi
0 Reactions
17 Replies
23K Views
Jamani mi nashindwa kuelewa hivi hili suala la kuwa sole importer wa Heineken brands lina umuhimu gani kwa sisi watanzania ingali bia za Heineken and Windhoek zinakuwa overprized? Kwanini supplier...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Ndugu zangu, hii si siri ila nimeamua tu kuwanong'oneza tu, sio tetesi ni taarifa za kweli na zinazoweza kuthibitishwa kwa nyaraka, vielelezo pia ushahidi.. Plz naomba msininukuu vibaya.. sijasema...
10 Reactions
90 Replies
16K Views
Jana nimeangalia television kikao cha EAC na nimeona South Sudan imekuwa admitted katika jumuiya yetu ya Afrika Mashariki. Nadhani hii inaweza kuwa nafasi kwa wafanyabiashara kupeleka vitu kule...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
.
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Miji ya Tanzania inakua kwa kasi mwaka hadi mwaka. Kwa sababu ya ongezeko la watu biashara nayo inaongezeka. Je, zipi zitafit mazingira ya miji yetu? Tafadhali, orodhesha mawazo ya biashara...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Wakuu habari, nimeanzisha stesheneri nahitaji kununua photocopy mashine model ir2520 au inayofanana na hip inayoprint dabo side. Nataka kupata mpya na bei iwe nzuri thanx.0754546328
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Lengo la huu uzi si kuhamasisha watu kuachana na masomo bali ni kujadili kwa pamoja njia walizotumia baadhi ya wanafunzi walioacha shule hadi kufikia mafanikio. Kumbuka kuna wengine waliacha shule...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imenunua mashine 8,000 za kutolea risiti za kieletroniki (EFD), ambazo zitagawiwa kwa wafanyabiashara wadogo wadogo nchini. Meneja wa masuala ya Kodi wa TRA...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish From Monday till Wednesday, this pair moved south. Price broke upwards on Wednesday as it rose significantly by 280...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Kumekuwa na watu wenye bahati ya kupata pesa nyigi sana kwa wakati mmoja kwa mfano pesa za migodini kwenye madini, pesa za kuokota, mirathi, pesa za zawadi, pesa za kilimo cha mazao ya biashara...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
Habari wajasiriamali Naomba kupata ushauri na mwongozo ikibidi katika biashara ya kuuza nyama za kuku wa kienyeji kwa kilo na kwa oda. Hii ina maana kwamba natafuta supermarkets na hoteli kubwa...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Jamani, nina mpango wa kufanya biashara ya madini, yaani nitanunua kutoka kwa wachimbaji wadogowadogo na kuyauza kwa wafanyabiashara wakubwa ili kupata faida zaidi. Ila nahitaji mawazo na maoni...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Ndugu zangu wajasiriamali, habari za majukumu. Humu ndani kumekuwa na tabia ya kuambizana mambo mengi ya kufanya pasipo kupeana ushuhuda wa kweli kuhusu mambo hayo. Tunapeana mawazo ya biashara...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom