Wadau kwa anayefahamu vizuri kuhusu gharama za kulipia mzigo wa simu katika mpaka wa namanga naomba anieleweshe maana nilikuwa napitisha kiujanja ujanja katika uongozi uliopita lakini baada ya...
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 5
“Attach yourself to a trading mentor. The cost will be far less than trying to do it yourself. Swallow your pride and get help. If you cannot...
Vietnam’s Viettel bags 1m mobile phone subscribers
www.ippmedia.com/ippmedia/business/vietnam%E2%80%99s-viettel-bags-1m-mobile-phone-subscribers
In a recent statement, the company said the...
Habari,
Leo nilienda Bureau kutaka kuchange dollars kama 300 hivi. Sasa yule Dada akasema kua hatuchange izi dollars ni za zamani hizi dollars ni za 1996.
Nilihitaji kujua kama ni kweli hazifai...
Gazeti la Raia mwema la tarehe 16-22,2016 ukurasa wa12 lilikuwa na makala yenye kichwa cha thread hii. Mwandishi wa makala ile alijaribu kutaka kutuaminisha kuwa agizo la Rais Magufuli la kuamuru...
NZDUSD = Buy
NZDJPY = Buy
NZDCAD = Buy
NZDCHF = Buy
EURNZD = Sell
GBPNZD = Sell
AUDNZD = Sell
NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of 200...
Nimechelewa kurudi kwa nyumba nikawaza juu ya kupika menu ya usiku, vile muda ulikuwa umenitupa nikaona nipitie kwa supermarket moja wanatumia slogan ya Tanzania Sisi ni Nyumbani, hii ipo kwa mall...
Nahitaji watu wa aina mbili; wale wenye uzoefu kwa ajili ya ajira na wale wenye nia ya kuingia kama investors. Wenye nia ya kuingia kama investors nahitaji kama watu watano tu.
Kama una uzoefu...
wakuu naomba kwa anayejua jinsi ya kutengeneza mkaa kwa kutumia kuni ndogondogo za hapa nyumbani au mkaa ule wa moto unaobaki jikoni anifundishe tafadhali aweke hapa tuweze nufaika wote asanteni sana
Multi Level Marketing and Islamic Shariah
By: Syed Sadat Husaini
Network marketing or Multi Level Marketing is a fast growing marketing strategy in India and the world over. Because of the...
Kama una ndugu au mdogo wako au wewe mwenywe. Tumeamua kuwasaidia wanafunzi wa kidato cha 4 na 6 kuanzia mwezi April 30.
Tutakutana kwa ajiri ya ku solve maswali tu ili kukuandaa na mtihani wako...
Nataka nianzishe biashara ya samaki kutoka kanda ya ziwa kuja arusha na kilimanjaro naomba msaada wa njia za kusafirisha samaki bila kuaribika kwan mtajio wangu ni mdogo bado cjaweza kumiliki gari...
Wajameni mimi ni mjasilia mali nataka nianze kufanya biashara ya kununua vyuma chakavu na kwenda kuviuza kwa anaejua soko la hii biashara naomba anijuze
tafadhali
home desk business
Earning money online by working as apart time job,earn up to 2500$ dollars weekly guaranteed join free link at http://link.homedesk.club/ref/?ref=136783
Jamani kuna tetesi kuwa Bakheresa huwa ananunua matikiti kwa kilo.
Naomba mwenye uhakika na tetesi hizo kama ni ukweli anijuze. Pia vigezo anavyotumia ktk kuchukua mzigo vikoje?
RIFARO AFRICA BUSINESS OPPORTUNITY
Hii ni kampuni mama kutoka Tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwa kumuingizia KIPATO...
Ndugu zangu wana JF nawaombeni ushauri wenu wa dhati kabisa. Nimenunua Fuso Tipper kutoka Japan na gari limefanya kazi wiki mbili tu na kusimama. Aina ya gari hili lina engine tofauti na magari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.