Watanzania wanaonunua nyumba kwa mikopo ya nyumba kutoka kwenyye taasisi za mikopo wanaokoa mpaka Tsh. 51,336,000 (USD 18600) kwa mwaka tofauti na wanaoamua kupanga.
Marejesho ya mkopo wa nyumba...
Wakuu nimepata mipango mingine, nina stationery iko Kigamboni katikati ya makazi ya wanachuo kama IFM, Mwalimu Nyerere, CBE na Institute of Adult Education wapo pamoja na raia wengine wengi tu...
Nimetokea kuipenda sana kazi ya tour guiding, sijasoma course yoyote kuhusu hiki kitu ila nina dhamira ya dhati ya kufanya kazi hii. Naombeni mwongozo wenu kwa mnaoifahamu kazi hii vizuri...
Nimefurahi kuona zoezi la Miss JF Chitchat kumalizika na mshindi kutangazwa, hongera miss chitchat 2012/'13 madame kwa ushindi, nasi ktk jukwaa la biashara ni vema tukapata list ya wajasiriamali...
Nyumba inauzwa IPO Kiharaka barabara kuu ya bagamoyo unaingia kulia kwenye Shule ya efata lakini haijaisha
Tuwasiliane kwanombar 0755910992/au 0713 802861
Sisi wafanyabiashara huku Mikoani tunanyanyasika sana na kodi na mwisho wa siku hakuna tunachoambulia na tunazidi kupiga Marktime. Mifano ya kodi ni kama ifuatavyo:- (1) Kodi ya Mapato wastani wa...
Habari zenu wanajamvi,
Leo asubihi kuna bwana mmoja alikua Clouds TV na Clouds FM akizungumzia fursa 10 kwa watanzania wenye mtaji kuanzia Tshs laki tano mpaka milioni hamsini.Mimi nilisikia...
Leoa asubuhi katika pitapita zangu nimeingia kama Beki mbili tofauti lakini cha kushangaza hakuna watu kabisa kama ilivyozoeleka kama zamani ambao mtu unaweza kukaa kwenye foleni hata masaa...
Tanesco wameendelea kujihakikishia nafasi ya kwanza ya ubabaishaji uliopitiliza kwa kuendeleza mgao unaoendelea kimya kimya pamoja na kutoa ahadi lukuki zenye matumaini ya kitume kuwa sasa...
Nahitaji Vifaa vya Chips, niko Dar Kinondoni.... Kama ulikuwa na biashara na huvitumii tena au Kama unaviuza, just tell me tuongee biashara.
Nahitaji Jiko, Jiko la Mishkaki, Karai, Kabati la...
Nasambaza na kuuza maziwa fresh ya ng'ombe yenye ubora (yasiyochanganywa na Maji). Nina uwezo wa kusambaza mpaka Lita 200 kwa siku. Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa: 0657878416
Naitumia benki hii kwa muda mrefu lakini siwaelewi kabisa wanaoiendesha.
Huduma zao haziridhishi kwa namna nyingi hadi nahisi watumishi/waendeshaji wake hufanya kusudi ili iwe na sifa mbaya...
Nimesoma barua ya maelekezo kwa wauzaji wa sukari nchi nzima kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari kuwa kuanzia kesho bei ya sukari ni shs.1,800 kwa kilo nchi nzima. Ninaomba usimamizi wa...
Wakuu heshima zenu,
Kuna biashara moja ambayo nimeifanyia uchunguzi kwa muda mrefu, na nimegundua ni biashara nzuri sana, ila inahitaji mtu kujitoa kwa hali na mali, kama mnavyofahamu biashara ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.