Mimi mjasiriamali nahitaji mkopo wa kumalizia project yangu ya Lodge na pesa nyingine kuingiza katika biashara zangu nyingine.
Mkopo ninaohitaji kama 300milion na nahitaji mkopo wa muda mrefu.
Nokia CEO ended his speech saying this “we didn’t do anything wrong, but somehow, we lost”. By: Ziyad Jawabra
Moja ya kampuni kongwe na maarufu za simu ya mkononi Nokia hatimaye ilishindwa...
USDJPY = Buy
AUDJPY = Buy
CADJPY = Buy
CHFJPY = Buy
EURJPY = Buy
GBPJPY = Buy
NZDJPY = Buy
NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of 200...
Wana JF,
Kumekuwa na ushauri mbalimbali unaotolewa kwamba watu waweke fedha zao benki. Ukweli ni kwamba kwa hali ilivyo Tanzania, nisingemshauri mtu yoyote kuweka fedha zake benki kwa sasa...
Jamani nataka kufungua duka la kuuza sukari kwa jumla tu yaani mifuko ya 25kgs na 50kgs.. mwenye uelewa mzuri kuhusu eneo hili anishauri tafadhali...nimepata frem gongo la mboto... maoni yenu plz
Jamani nataka kufungua duka la kuuza sukari kwa jumla tu yaani mifuko ya 25kgs na 50kgs mwenye uelewa mzuri kuhusu eneo hili anishauri. Tafadhali nimepata frem Gongo la mboto.
Maoni yenu plz
Kazi kubwa ambayo ninafanya inahitaji intanet.
Nafanya sana utafiti, na ninasoma sana kwenye intanet.
Mara nyingi bando ninayotumia haikai wiki mbili.
naweka. inaisha. naweka tena. inaisha tena...
Wadau ni matumaini yangu mmeamka salama na mnaendelea kulijenga Taifa.
Naomba msaada wenu kwa anayefahamu ni utaratibu upi unahitajika ili kuruhusiwa kuingiza mayai nchini toka nje ya Tanzania...
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI -
Karibuni
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
2. Kufungua Kanisa ili upate sadaka zakila ibada
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Kujenga kituo...
Europe's Biggest Oil Hub Fills as Ship Queue at Seven-Year High
Rakteem Katakey rakteem
Alaric Nightingale AlaricN
March 1, 2016 — 6:16 AM EST
Share on FacebookShare on Twitter
Share on...
Wanajamvi naombeni ushauri, nina Toyota- Avensis ya mwaka 1999 nafikiria kuifanyia biashara ya TAXI!, sema gari ina high mileage of 140,000. Vipi italipa au gari imeshazeeka/itasumbua mbeleni...
Habari zenu wana jamvi. Nina mtaji wa sh 10 milioni za Tanzania nataka niziweke katika hii biashara.
Kiufupi nataka ni deal na pipe, clumbing fiting zote, pamoja na toilet na ceramic items...
Unakuta tangazo mtu anauza kitu
lakini hakuna namba ya simu
kuna email tu
hiyo email ukituma kuulizia hiko wanachouza
hawa reply...
hata kusema tu kama kimeshauzwa
na sio tangazo moja
unakuta...
Wakuu baada ya kutafuta microfinance kwa muda mrefu na kushindwana na wale wanaouza kwakuwa wao wamekuwa wakitaka ninunue pamoja na madeni wanaowadai wateja wao kitu ambacho sikuwa tayari na hilo...
Habari za jioni wakuu,
Natafuta wafanyabiashara wenza/bussines partner katika uwekazaji wa kisasa kwenye kilimo cha biashara.
Wanahitajika angala watu 9 na mimi nikiwa wa 10,tunawekeza kwenye...
Mimi ninataka kuanza mradi wa kujenga na kuuza nyumba (ambazo zinakuwa zimefika hatua ya lenter) nipo Dodoma hivyo mradi huu natarajia kuufanya hapa Dodoma.
Naomba elimu, ushauri, uzoefu n.k...
Habari wadau!
Siku kadhaa zilizopita nilimsikiliza bwana Ruge akizielezea fursa 10 za biashara au ujariamali hapa nchini..Kwa kuwa waliweka promo nyingi sana juu ya hicho kipindi maalum nikaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.