Habarini wakuu, Naamani Katika kujifunza kutoka kwa wengine ndio njia pekee ya kuweza kuongeza ujuzi na ubora kwa kile unachokifanya au unachotarajia kukifanya.
Je ni nchi gani either Africa au...
Wanajamvi,
Mimi najishughulisha na uuzaji wa bidhaa za urembo hasa cheni, pete, nywele kama wigi na wiving, hereni, kucha, n.k
Nimeshawahi kununua mzigo Kariakoo mchikichini street. Sasa naweza...
Nchi yetu inalalamika mapato ya nchi haitoshelezi mahitaji " kwann isichapishe hela zaid kwa ajili ya kukamilisha kiasi kinachopungua ktk budget ya mwaka.
Jibu langu likawa rahis tu haiwezekan...
Habari wanajamvi wote.
Kuna mada mbalimbali za fursa za kibiashara zilizowekwa hapa jf hasa za Uganda,China,Thailand na Turkey.
Nimetumia taarifa hizi nimefika Uganda na najipanga kukua zaidi...
Wanajamii naomba msaada wenu katika hili.
Mimi ni kijana nakaa Dar es salaam nasoma ila nimebahatika kupata mtaji kiasi hicho tajwa hapo juu.ni mkopo toka bank. Mimi nilifikiria kufungua...
Wadau habari za asubuhi,
Naomba maelekezo ya namna ya kuwa agent wa hyo kampuni;
1. Je, taratibu na qualification zinazohitajika ni zipi?
2. Ofisi ipi nastahili kwenda?
3. Faida zake zikoje...
Wadau habari za mchana....,
Kuna kampuni moja inadai kuandikwa kwa tin namba zake katika kila risiti inayotolewa kwa chochote inachonunua....!!
Binafsi sina ujuzi juu ya mambo ya kodi katika...
Habari wana JF,
Naomba msaada kujua ni bank gani ambayo ina mikopo mizuri kwa ajili ya kujenga nyumba ya kawaida kabisa ambayo riba yake ni ndogo.
Inaweza kuwa bank au Agency ya mikopo.
Ahsanteni!
HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA
1. TUMIA UJUZI ULIO NAO
Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona...
Habarini wakuu, Nahitaji mkopo wa dharura wa shilingi laki tano baada ya mwezi mmoja nitarudisha 650,000.dhamana zangu ni vitu vya nyumbani na kwenye biashara, nipo tayari kusainishana popote...
Negative-Rate Policies Are Becoming More Common. Is the U.S. Next?
An in-depth look at the Hail Mary of monetary policy
Victoria Stilwell toristilwell
Aki Ito akiito7
Daniel Moss...
Kwa amsikitiko makubwa naandika ujumbe huu nikiwa kama kijana niliyejiajiri lakini ndoto zangu za kujiajiri zinaonekana kuzimwa na serikali yetu eidha ni kwa makusudi au kimfumo lakini sioni...
PG Butchery;
tupo Ukonga Banana Relini, karibu tukuhudumie Nyama, Samaki (Sato & Sangala) kwa bei nafuu.
tunapokea Order ya Samaki na Nyama kwa watu wa Hotelini. Wachoma Nyama, Mishikaki, Mama...
Soma jarida la Darproperty la mwezi huu lililosheeni makala zilizofanyiwa uchunguzi, nyumba, viwanya na bidhaa bora zaidi za sekta ya ujenzi na nyumba.
Usikubali kupitwa, Bofya hapa The Magazine
Katika historia aliyepata kuwa Rais wa Marekani kipindi ambapo kulikuwa na mdororo wa kiuchumi duniani (great economic depression), Franklin Delano Roosevelt aliwahi kuyafunga mabenki kupisha...
Hamjambo wana JF. Nimekumbuka kuna kipindi nilifanya kazi mazingira ambayo ilikuwa vigumu kupata unga na kusonga ugali bali tuliweza kununua vyakula vingi vya makopo kama nyama, samaki, maharage...
Oil marketing companies have formally accused the supplier of petroleum products through the bulk procurement system (BPS), Augusta Energy, over what they claim to be poor quality petrol supplied...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.