Habar wana jamii forum,watanzania wengi tunafanya biashara mbalimblai na wengine tumefika mbali hasa na kumiliki makampuni.Dhumuni kubwa la uzi huu ni kupeana elimu juu ya masuala tajwa hapo...
Wajasiriamali wengi wamekuwa wakijishughulisha shughuli za uzalishaji kama kutoa huduma au kuuza bidhaa na lengo likiwa kupata mafanikio. Katika kufikia mafanikio makubwa wachache wameweza na...
Hello;
I am a Tanzanian, doing enterpreurnship in Dsm....I would like to expand my business to the mentioned countries and so I need a person having a capital even the little it is but we can do...
The Tanzania Global learning Agency (TGLA) will once again conduct ad short course for Data Analysis,Monitoring and Evaluation course in Arusha for 5 days from 14th to 19th March 2016. The course...
China's Yuan Bears Predict More Trouble Ahead
Saijel Kishan
February 21, 2016 — 7:00 PM AST Updated on February 22, 2016 — 11:01 AM AST
The U.S. States Where Recession Is Already a Reality...
Wakuu heshima yenu. Tafadhali naomba kama kuna mtu anajua mtu anayeuza Mitsubish Canter tani 2 anijulishe. Ni zile zinazotumiwa sana na wenye site za kufyatulia matofali, wauzaji wa maji nk. Na...
Habar za jumapili wanajukwaa, happy valentine day to you ALL.
Naombeni kujua kuhusu mada husika hapo juu, wengi tumekuwa tunanunua mashamba wilaya ya bagamoyo na wilaya za jirani na dar...
1.Natafuta kampuni inayo toa mkopo hadi mil 10
2. Natafuta kampuni inayo toa mkopo wa bidhaa kama bajaji, Kirikuu , au magari aina ya Noah
Naomba atoe vigezo na masharti ya mkopo.
asante
Salaam ndugu zangu wana JF!
Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses .
Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa Lodge/Guest house...
Wadau nani anaifahamu vizuri hii website ya kuuza na kununua kupitia mtandao nimepata bidhaa nimekuja nipate kujua zaidi kama kuna mtu amewahi kuitumia!!
Hallow wazee, nina shida natafuta mahari ambapo naweza kuwa napata Diamond rough kwa bei ya USD 300$ hadi 400$ per 1 carat, kama unajua lolote litakaloweza kufanikisha kukamilisha kazi yangu ni PM..
MASWALI MATANO YA KUJIBU KABLA YA KUANZA BIASHARA YOYOTE
Na Elly Dulla
Email:ellydulla@gmail.com
0766444050(WhatsApp Only)
1.WEWE NI NANI?
Hili ni swali la kwanza na la muhimu kabisa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.