Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwa hakika suala la kuhifadhi pesa ili nifanyie uwekezaji imekua ni suala gumu sana kwangu kwani kila nikiwa na kiwango fulani cha fedha kwenye akaunti nakuwa na msukumo mkubwa wa kutumia hiyo...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
habari za hapa jf, ninahitaji kuku wa kienyeji/chotara wale ambao ndio kwanza wameanza kutaga au ambao wamebakiza kama wiki 3 waanze kutaga. niko maeneo ya Airport DSM. naomba kuwasilisha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nimepita mitaa ya kurasini-tmk nikaenda kukagua mradi wa daraja la kigambon nimeona linakaribia kumalizika pia nikaona nishare na nyie wadau wangu! #ilovetznchiyangu
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba ushauri wenu! Nina rejesho la mkopo ACB ambalo toka awali nikipewa mkopo nilishtuka kuwa itakuwa shida, ikanipasa kuchukua kwani nililazimika kwani muda wote wa miezi 4 nafuatilia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jf, naombeni msaaada wa biashara gani inafaaa? kufanya...! nna mtaji wa kama m5 hivi bt stil sijajua ni bzness gani nitafanya...msaada wa mawazo jamani.
0 Reactions
45 Replies
27K Views
je ni vitu gani hasa nitahitaji maana ni grosery ndogo tu sio kubwa sana wazoefu walioko humu ushauri wenu utakua msaada sana.. chochote unachojua kuhusu biashara hii kitakuwa msaada tosha kwangu...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Habari asubuhi wanajamvi, kuna ndugu yangu anahitaji kwenda Uturuki kuchukua furniture na pia kucheki bidhaa toufauti za kuja kuuza huku kwetu sema anahitaji invitation letter kutoka kwa kampuni...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Naomba kujuzwa taratibu za kupata leseni mpya ya biashara baada ya leseni ya awali kua imekwisha muda wake. Msaada kwa wenye uzoefu tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
12K Views
Bado ipo katika hali nzuri. Unaweza kutumia dukani, stationary n.k. Nipo DSM. For more info nicheki kwa namba 0712016405 picha hizi.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish EURUSD moved upwards by 230 pips last week, topping at the resistance line of 1.1350, before the current bearish...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Kama kuna mtu anauza meza ya ndani kwa bei za kwetu walalahoi basi anijulishe hapa nahitaji.....nipo Dar Tabata.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi naombeni kujua risk za kuwatumia madalali katika biashara hususani ya kuingiza mazao kama vile ndizi na viazi kutoka mkoani kuleta dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari JF, Leo nimeona nitoe maoni yangu katika hili suala la ujasiriamali nikiwa pia mjasiriamali mdogo ninayezikimbiza ndoto zangu. Mimi ninaongelea suala la ubunifu linalobebwa na ujasiri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taasisi gani inatoa mikopo kwa masharti nafuu na haraka?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BEI YA HISA MOJA YA NMB TAREHE 04/02/2015 ILIKUA NI TSHS. 4,290 JANA TAREHE 04/02/2016 BEI ILIKUA NI TSHS. 2,200 UKIPIGA HESABU HAPA UTAKUTA ZIMESHUKA KWA KARIBIA 50% TATIZO NI NINI?? AU NI...
0 Reactions
67 Replies
9K Views
Hello wakuu, I hope mu wazima wa afya. I'm here again to tell you about what happened since I came here with my story and I thank God because a lot of people came and advice me and some of them...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wa JF, Katika harakati za kukuza biashara yako kujitangaza ( matangazo ) ni jambo lisilokwepeka. Extrem_Marketing tunakufahamisha jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii ( Facebook na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
SACCOS yadaiwa kufilisika na pesa za wanachama SACCOS moja mjini Makambako mkoani Njombe yadaiwa kushindwa kutoa pesa kwa wanachama wake hali iliyozua taharuki na kuzusha madai ya taasisi hiyo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nahitaji kununua gari toka Zanzibar na kulileta Bara. Naomba mwenye kujua anisaidie utaratibu wa kodi na usajili. Je, ni process zile zile kama za kuimport toka Japan? Nawasilisha
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Picha Wanawake kutoka Visiwani Zanzibar walionufaika na Mradi wa Manjano Dream Makers Kutoka Taasisi ya Manjano Foundation. Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kiuchumi Kupitia Tasnia ya urembo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom