Habari wadau ningependa kusaidiwa sehemu gani hapa dar ambapo yanauzwa mabelo ya sendo,ndala na yebo yebo za mtumba....mawasiliano yangu ni 0673 659759
Mercedes yazindua lori linalojiendesha
Image captionMercedes yazindua lori linalojiendesha
Amini usiamini huku watu wengi Afrika Mashariki wakilazimika kulipa mabilioni ya shilingi ilikujifunza...
Naomba mnisaidie ndugu zangu. Nna hekari 4 za miti aina ya pines zenye umri wa miaka mitatu (3) nahitaji kwenda kukopa bank na hayo mashamba yawe ndio asset katika huo mkopo na nahitaji 20ml. Je...
Bei zetu ni kama ifuatavyo
Bei ya ndoo ndogo ambayo ni samaki 30 HADI 35 Bei yake ni 50000 na gharama ya kutuma kwa ndege ni 10000 .samaki wanatengenezwa vizuri kwa kutolewa utumbo.na kuweka kwa...
Nilianza kusikia habari kuhusu 3D printing na makeke yake tangu mwaka juzi, lakini sikuweza kuamin sana, et kwamba unaweza tengeneza chochote unachodesign na kwamba kuna viwanda had vya vyakula...
Wateja 24 waliotorosha makontena kufilisiwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya YONO, Bw, Stanley Yono Kevela
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Yono Kevela amesema hayo jana na kuongeza kuwa...
Za asubuhi wakuu?, Nataka niulize kuhusu gharama za kujiunga na mojawapo ya hizo kampuni Kama wakala.ningependa nipate ufafanuzi wa faida zake na jinsi gani wakala hufaidika
Asante
I Currently work for a company that sends out a 3-4 High Quality! trade Alerts on a daily basis to its registered members and only a few minutes a day is required to manage and execute the...
Shehena ya bidhaa mbalimbali zenye viambata vyenye sumu ikiwemo dawa, vipodozi, vinywaji na vyakula ambavyo baadhi yake ni kutoka nchi jirani ya Kenya, vimekamatwa kisha kuteketezwa kwa moto baada...
The Government now taking measures to ensure that most citizens are empowered economically through creating a favourable business environment
Prime Minister Kassim Majaliwa has a word with TIB...
Serikali yaomba mapendekezo uanzishwaji viwanda
Wizara ya Fedha na Uchumi imewaomba wafanyabiashara nchini kupeleka mapendekezo ya namna ya utekelezwaji wa miradi mikubwa ya uchumi.
Imesema...
Kwa muda mrefu hii benki ilikuwa inafanya kazi kama taasisi ya serikali ya kukopesha kwa ajili ya maendeleo. Ilivyokuwa inafanya kazi kwa staili hiyo watumishi wake walikuwa wanajifanyia kama...
Hello! JF,
Kwa majina naitwa Alex Hamis, ni mwanafunzi wa chuo kidogo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha lakini kwa upande mwingine ni kijana ambaye napenda kujishughulisha na...
Aise umesikia fursa hii ya shindano kwa wewe ambaye unayependa kuwa mfanyabiashara mkubwa? MO Entrepreneurs Competition ni mradi ulioandaliwa na Mo Dewji Foundation na Darecha Limited ili kutambua...
Habari wanajamvi.
Nipo katika hatua za katikati za kununua machine toka India,Nimeshampata supplier,tumeelewana bei ya bidhaa husika,na sasa yupo ktk hatua ya kunitumia proforma.
Pamoja na...
World's Richest Lose $194 Billion In First Trading Week of 2016
Brendan Coffey bpcoffey
Jack Witzig
January 9, 2016 — 1:59 AM AST
Share on FacebookShare on Twitter
Amazon's Jeff Bezos...
Habari za wikiend? Natumai wadau wote JF katika sekta hii mko poa, Mimi ni mgeni katika jukwaa hili japo nimekuwa nikipita mara kwa mara kujifunza kitu kipya katika maswala ya uchumi na biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.