Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bearish Gold started a persistent bullish journey a few weeks ago, and this is strong enough to threaten the current bearish bias on the market. Should the bullish...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa JUSTIN NTALIKWA ametembelea mradi wa gesi wa SONGOSONGO wilayani KILWA, mkoa wa LINDI Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa JUSTIN...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Mwana JF, Atakae toa wazo bora la biashara halali katika jiji la dar na wana jf walio wengi wakaridhia na liwe na mtaji wa three million kwa mara ya kwanza nitatoa zawadi ya pesa tasilimu ambazo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeanzisha thread hii tusaidiane kujua bei za mafuta katika nchi mbali mbali. Hii itatusaidia tujue iwapo Tanzania bei zake tunapigwa au lah hasa wakati huu ambapo bei ya crude oil inaporomoka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar ndg jamaa marafik naomb kujua jins ya kuapply kaz serikalin vitu vp vinaitajika kuambatanisha wakat wa kupeleka barua km mim ni dereva mwenye kujua anijuze,atujuze ahsanten
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana-JF Ni leo nimekutana na binti mmoja akilia kuingizwa mjini na wajanja,Kwani yeye anafanya kazi katika vibanda vya huduma ya pesa kama M-pesa,TigoPesa n.k Mambo yalikuwa hivi, alipokea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
USDJPY = Buy AUDJPY = Buy CADJPY = Buy CHFJPY = Buy EURJPY = Buy GBPJPY = Buy NZDJPY = Buy NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of 200...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Mimi ni kijana muangaikaji hapa town mepata gari aina ya subaru legacy wagon sasa nikua nauliza hii gari inadumu hasa upande wa engine maana ni turbo chargred engine na fuel consumption ikoje..
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ukiona nimekuja kuandika jambo humu ujue limenifika hapaaa.TRA Import Zone kuleee tabata near Mwananchi kuna huyu baba mgeni ambae ndio incharge wa ile bandari kavu kahamishwa kutoka Musoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral This pair went up from the support line at 1.0800, reaching the resistance line at 1.0950. From that resistance line...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Nimekua nikitaka kununua mashine kwa ajili ya kilimo toka China kwenye mtandao wa Alibaba lakini makampuni yote niliyo wasiliana nayo wanapokea malipo kwa T/T pekee. Hawataki kutumia PayPal au...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naombeni msaada namna ya kutafuta masoko ya kuuza asali hasa nchi za nje wapendwa
1 Reactions
2 Replies
2K Views
National Health Insurance Fund (NHIF) Director General Michael Mhando The government intends to amend the law governing the Community Health Fund (CHF) to make it mandatory for all people to...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Nina jamaa wanataka kuja kujenga chuo kikuu kikubwa kama vile UD or something similar Je upatikanaji wa ardhi ukoje? Je serikali au wilaya zinaweza zikawa na ardhi ambazo zimetengwa kwa jili hii...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
katika maisha yangu napendelea sana kuja kufanya hz biashara ya bar,loagy na kumbi za harusi......kuanzisha biashara kubwa ambayo itakuwa imevibeba hv vitu vyote kwa pamoja.NATAKA NIJUE CHANGAMOTO...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Kumbe kuna mambo mengine Rwanda ipo hata juu ya U.S.A. Kenya na Rwanda wametuacha sehemu nyingi sana. Jaribu kufuatilia hii link ya World Economic Forum Competitiveness Rankings
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada namna ya kutafuta masoko ya kuuza asali hasa nchi za nje wapendwa
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Wakuu habari za mida hii.. Naomba kujua kama naweza kuanzisha kampuni ya kuuza vinywaji vya jumla.. yaani kuanzisha kampuni ya kuuza bidhaa za kampuni nyingine lakini kampuni tofauti tofaut kama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, Ninahitaji kuunganisha wajasiriakilimo Katika mradi unaoitwa SITA Yaani support India Trade and Investment in Africa... Mradi huu utahusisha kuunganisha wadau Katika mnyororo wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
“One of the keys to a trader’s success was not the results of a trade but rather how a trader reacted to the results of a trade.” – Dan Gamza Why me? Why did this happen to me? Those are some...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Back
Top Bottom