Kwa muda mrefu tumeona taasisi mbalimbali za kiserikali zikitoa elimu au kujiweka wazi kwa umma kwa kuelezea madhumuni ya huduma zao kwa wananchi; kwa uchache hingera zao TRA, TANESCO, NHIF, NSSF...
Waungwana wana JF, nawapa salaam,
Ama baada ya salaam, naombeni busara kutoka kwa wabobezi wa maswala ya kodi (kama nilivyoonyesha kwenye kichwa cha habari hapo juu).
Naishi kwenye nyumba ya...
Wanajamii, hebu tupeane elimu kidogo, kwanini tunasema "profit and loss na siyo profit or loss" au "kufa na kupona badala ya kufa au kupona" kwasababu kinachotokea ni kimojawapo na si vyote viwili...
BOT imemaliza kuandaa ripoti yenye orodha ya majina ya watu wenye mijihela huko benki za uswiss. repoti hiyo itatolewa kwa watu husika tu watakaoihitaji. kama Gavanna alivyosema. Ripoti hiyo...
Hivi ni kigezo gani kinacho weza kufanya nikatozwa ushuru wa Tsh. milioni 18 kwa Minibus 15 seats/Van? Ford transit/ya mwaka 2003/cc 2402/ in are mbele Diesel; toka UK.
Nisaidiyeni haya mahesabu...
Wadau,
Nimetembea mikoa mingi ya Tanzania na huduma ya cable television ni common sana na ni cheap kwa maana nyingine, naomba kufahamu je huduma hii hapa DSM ipo? Na kama haipo ni kwa nini...
Habari wana e commerce....
Mwenye kadi ya payoneer naomba anipe experience aliipata vipi maana nimeapply more than three times ila haikuwahi kufika hadi leo hii.........nshaongea na customer care...
3kw sawa na 3000
48v
Uwezo wa Kuzalisha Umeme wa kutosha kwa matumizi ya nyumba ya kawaida, taa,fridge, TV, air condition, water pump. From USA from Germany or Italia
3kw
48v
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer... Kama haiwaki au ipo slow, Ku-install Windows XP,7,8,10 au Apple OS. Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk.
Ofisi ipo Kariakoo mtaa wa...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
This pair experienced short-term upswings and downswings, with no directional movements in the medium term. Just like...
Ndugu zangu,
Nimefikiria vya kutosha na nimepata wazo la biashara la kutengeneza na kuuza fanicha.
Nimeamua nianze kwa kuajiri mafundi wanaoweza kutengeneza fanicha kama makabati, sofa, vitanda...
Wa Salamu,
Binafsi nina mpango wa kuanzisha gazeti la habari ambalo litakuwa linatoa taarifa za Kikanda katika mojawapo ya kanda za taifa la Tanzania. Nataka lijikite zaidi kwenye uchumi, kilimo...
The truth is, MLM is the most rewarding Profession today. Many people are making fortunes. For that being the case, dont join any MLM company. Just make an analysis on the company before joining...
New Year is here! Year 2015 was the most difficult year I’ve experienced in my trading career. For example, years 2007 to 2014 were easy for those who cut their losses, ran their profits and...
Habari yako Mwana jukwaa mwenzangu. Rejea kichwa cha Uzi hapo juu.
Bila kupoteza mda.. Katika pitapita zangu kwenye mtandao nikakutana na hii kitu nikaona niwashirikishe wenzangu kwa akaeona...
What's behind China's stock market meltdown?
We examine the global panic surrounding China's economy and what can be done to keep it going.
09 Jan 2016 19:21 GMT | Business & Economy, China...
Wadau heshima zenu.
Mimi ni mwandishi wa vitabu na jarida lakini sijawahi kuvichapisha. Nahitaji msaada kujua gharama za kuchapisha kitabu na pia gharama za kuchapisha jarida yaani printing and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.