Heri ya mwaka mpya 2016.
Samahani msaada kwenye tuta, nina maswali machache;
1. Naomba kufahamu kuhusu magari aina ya Caldina uimara, gharama ya kuimudu, spare ,usalama, mafuta. n.k
2. Je kwa...
Jamani habari za kazi.
Ninaomba msaada kwa yeyote anayejua makampuni haya ya bima ya kimataifa kama yako hapa Tanzania au yana agents/representatives wao. kama unayajua hata kama siyo yote naomba...
Habari wakuu. Natafuta kununua kahawa kwa bei ya jumla ila sifahamu bei sasa hivi ikoje. Naomba taarifa kwa anayefahamu bei ya kahawa sasa hivi ikoje. Ahsanteni.
Habari,
Natafuta template ya kuhifadhi na kutrack business ideas,
Unaweka business ideas,requirements,research ya soko,gharama za mwanzo,(cost kadhaa),estimation ya mtaji(of which inaweza kuwa...
Habari wakuu, naomba usaidizi kwa wale wenye uelewa wa tofauti ya vitu hivi viwili. Endapo mtu anataka kufungua kampuni je kuna tofauti kama jina la kampuni likiwa
XXX COMPANY LIMITED au XXX LIMITED ?
Background on the Canada-Tanzania FIPA Negotiations:
Canada and Tanzania have agreed to begin negotiations towards a Foreign Investment Promotion and Protection Agreement (FIPA). The parties...
NB: Let us talk about our Holy Currency and not Politics.
While walking today i noticed an exchange board and saw that 1 dollar = 2200/=. Where are we heading? i started asking myself.
in...
Kwema ndugu zanguni?
Mwaka huu nimeona nianze mapema tu kufanya savings kidogo za kiji mshahara changu nacho kipata. Mshahra sio mkubwa kiukweli ila nimeona ni bora nika CUT-OFF baadhi ya...
Crude oil has hit a 12-year low as the world’s supply glut shows no signs of easing despite increased global tensions. Brent crude dropped to $34.95 a barrel — the lowest since 2004 — as traders...
Nina ndoto za kuwa na kampuni ya mafundi umeme. Sasa baada ya kuserch jina BRELA nimeambiwa niende kwa mwanasheria kutengeneza MEMART.
Suala lililonifanya nije hapa ni kuhusu share capital...
Sembe na dona ziko nyingi mtaani! lakini sembe and dona ya JAJOJO ubora wake umeshinda zote. 1kg - 50 kg jumla na rejareja. Unga huu unatamba jijini Mbeya kwa sasa! wasiliana nasi 0715 966693...
kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya ..ama baaada ya hilo mimi nina maswali mawili
la kwanza ni jinsi gani au ni hatua gani au inabidi nifanyeje ili kuanzisha kampuni yangu ya...
Nilichokisikia kwa mkurugenzi wa shirika la Watumishi Housing Company. Ndg fredy msamwa; maelezo yake kama kweli wanajenga nyumba za sh. 30, 40 na 50. nadhani ukiritimba wa huyu jamaa ndg.Nehemia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.