Katika biashara zainazoogopwa Tanzania ni Biashara ya ufugaji wa kuku, wengi huogopa magonjwa na mtaji mkubwa na pia kutokuleta mazao tarajiwa.
Hiyo ilikuwa ni zamani siku hizi madawa na...
Ni zaidi ya miaka 10 tangu nimeanza kumfahamu huyu mzee, amekuwa akitoa millions to billions of shs kuisaidia jamii na hajafulia, hivi hela anayotoa kama misaada ni hela yake ya mfukoni au ni kodi...
Wana jf, nauza viwanja.
sifa zake
1. vimepimwa na vina hati miliki ya serikali kuu.
2.via ukubwa kuanzia sq. 900 hadi 1300
3.vipo msongola manispaa ya ilala hapa Dar es salaam
4.mawasiliano 0769...
Heshima kwenu,
Wakuu naomba kufahamishwa kama ipo taasisi ambayo inaweza kukopesha ila yenye kukubali shamba kama dhamana,shamba ambalo kimsingi halina hati ila lina makaratasi ya mauziano ya...
Naomba ushauri kuhusu kuanzisha biashara za midia hasa radio kwa hapa dar.
Naomba ushauri kwenye yafuatayo:
1.Gharama za uanzilishaji
2.Vifaa muhimu vya kuanza navyo
3.Muda wa mrejesho wa...
Wana JF mimi ni mwalimu in profession but kwa huu mshahara wa laki 4 nadhani kutoka ni ndoto.
Katika tasmini zangu nimegundua kilimo cha miti kinalipa sana na watu huku kwe2 wanao miliki misitu...
Kuna mmoja wenu hapa alishawahi kupokea mizigo ya bei rahisi kutoka nje ya nchi na wanaokusanya ushuru hawakuhitaji makato?Je, kama hivo mizigo ilihitaji kulipiwa kiasi gani mpaka wanaokusanya...
Katika gazeti la leo tarehe 4/1/2016 la wananchi kuna habari yenye kichwa kama inavyosomeka hapo juu na kwamba wananchi wengi wamekuwa wakivamiwa mara tu ya kuchukua pesa nyingi benki.
Benki...
Edmark tz(approved by TFDA)
Splina Liquid Chlorophyll - possesses 3 main
functions; cleansing, balancing, and nourishing.
These enable us to have a stronger body and
better health.
1. Cleansing -...
Kwa yeyote mwenye access na mamlaka zinazohusika na kusimamia mazingira na afya makazini, ninaomba asaidie kufikisha taarifa hii. Ni miezi mitatu sasa tangu Viyoyozi (Air Conditioners) katika tawi...
Here’s the market outlook for the year:
EURUSD
Long-term bias: Bearish
EURUSD was generally bearish in 2015, reaching a low of 1.0462 and a high of 1.1712. The last week of that year was...
GOOD NEWS!
ALL OUR PRODUCTS ARE
APPROVED BY TFDA
What is Healthy Living?
Chronic diseases have increasingly plagued
modern society. This can be attributed to the
stress brought about by hectic...
Wadau poleni na majukumu,
Naombeni tushauriane kuhusu namna biashara ya vipindi vya radio na tv inavyoweza kumlipa mtu. Binafsi napenda sana kuwekeza katika media yaani naweza buni tv au radio...
I gave a talk on the economy to a youthful management team of a Kenyan company recently that elicited an unexpected reaction to what I thought was an obvious matter of fact, this being that...
Wadau,
Heri ya Kuuona Mwaka Mpya,Kama mjuavyo kuwa habari ya "mujini "kwa sasa ni "HapaKaziTu", hivyo ktk kutekeleza hiyo kauli mbiu, nataka kuanzisha hii business iwe maalamu kwa kufundisha na...
WanaJamvi,
Hongereni kwa kuuona Mwaka Mpya 2016. @016 iwe ya Kheri kwenu.
Mwenzenu ninatafuta fundi wa Machine ya Kutengenezea / Kuchapisha Picha. Machine ni Noritsu 3311. Ninahitaji kupata...
1.plot iko bahari beach 3568 sqm iko karibu na baharini,hati zipo.bei $500,000.mazungumzo yapo
2.plot iko mwenge karibu na mlimani city 600sqm karibu na barabara ya samnujoma.bei 350m.maelewano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.