Wakuu habari ya leo.
Nina gunia zangu za alizeti hapa Dar, natafuta sehemu kwenye mashine naweza kukamua mafuta. kuna mwenye kufahamu wapi naweza kupata huduma hiyo?
Asante in advance
Ukiwa na mipango mizuri kuwa na nyumba nzuri inawezekana. Kabla ya kuchukua hatua panga na fanyia uchunguzi mipango yako. Je itakuwa rahisi zaidi kuchukua mkopo wa nyumba kujenga na kuhamia kwenye...
It's too early to call greenback top, according to Alan Ruskin
U.S. currency may rise to 95 cents against euro by late 2016
Share on FacebookShare on Twitter
Share on LinkedInShare on RedditShare...
Wadau
Mimi nina soko la nje la white maize,sunflower oil,soy oil na sesame seeds kwa wingi .Kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya biashara namimi on commission basis tuwasiliane kwa pm........ Only...
Je ungetamani kuwekeza ktk biashara kubwa big business, kwa mtaji wa kawaida na kuweza kuvuka mipaka yako ya kiuchumi?
nitafute kwa ushauri zaidi 0718512775
natumai mu wazima bukheri wa afya leo nimeona tukumbushane kidogo baadhi ya vitu ambavyo vitatusaidia wote kwa pamoja kuongeza masoko na kukuza uchumi wa taifa hili.
Mada yetu leo inasema jinsi...
NAOMBENI MWENYE KUJUA NI WAPI NAWEZA KUPATA STEELWIRE KAMA ZILE WANAZOSHIKILIA NGUZO ZA UMEME... NAHITAJI ZA 2MM MPAKA 6MM.. NAHITAJI KAMA MITA5000
NITASHUKURU..
Habari za kutwa wana JF,
Naimani nyote wazima wa afya njema,
Lengo la kuandika haya nahitaji kujua bei ya bati ya msauth inanunuliwa bei gani maana zinachanganya naweza nikajikuta nanunua bati...
Wakuu naomba ushauri wenu kwa mwenye uzoefu wa haya Magari ya SUZUKI SWIFT na TOYOTA VITZ. Ni gari gani zuri kwa utumiaji wa mafuta na kuhimili changamoto za barabara mbovu za vijijini. Nina...
KITABU KITABU KITABU…!!
Kama unahitaji kitabu cha elimu ya ujasiriahali na ujasiriamali na mafanikio kwa ujumla kilicho katika lugha ya Kiswahili na kilichoandikwa kuakisi mazingira halisi ya...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair consolidated from Monday to Wednesday, breaking out northward on Thursday (March 10, 2016). On that day...
habari wana jamvi. jaman nahitaji mteja wa mapeasi anayeweza kukununua kwa bei ya jumla ninayo mengi sana shamba lipo maeneo ya njombe kwa yoyete anayehitaji tufanye biashara.
Lengo la uzi huu ni kutoa mawazo yangu binafsi nionavyo kuhusu hisa za CRDB.
Ongezeko la watoa huduma za kifedha hapa nchini sio habari nzuri sana kwa wanahisa wa CRDB. Sasa hivi Bank za jumuiya...
Fursa kwa wadau woteeeee!
Kwa wale wote "walioko Dar" na unahitaji mkopo wa pesa tafadhali njoo inbox upate huduma kutoka UKWALA MICROFINANCE..... Interest ni 20~25 pct..... Asante!
One of the most devilish conundrums faced by traders is what to do when an instrument they are following gives a valid signal but this signal is either at an all-time high or low. Such a situation...
Easy Stock Management System (ESMS) is desktop application which facilitates accurate management of stock and business as whole. Main goal of this software is to minimize/ reduce manual control of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.