Wanajamvi wenzangu mimi nimeajiliwa katika taasisi binafisi, mda wangu mwingi nautumia kuwepo kazini ambapo nashindwa kufanya mambo mengne ya ziada ya kujiimalisha kiuchumi.
Nikilinganisha...
Habari wanajamvi.
Kuna kampuni ipo China nataka kushirikiana nayo kutengeneza vifaa vya wanawake kama diapers pamoja na Watoto pampers. Nataka kufahamu ni mamlaka gani huwa zina idhinisha kati ya...
Awali ya yote niwasalimu na kuwatakia Pasaka njema, Ndugu zangu jamaa na Marafiki nyote, mlioko Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania.
Ni matumaini yangu kuwa nyote mko sawa, na mimi kwa unyonge...
Za pasaka wanabodi,ningependa kujua kama kuna mwenye experience ya mabati ya dragon kwa uimara na ubora wake..najua kiwandani wanatoa guarantee ya miaka 5 lakini ningependa zaidi kujua kwa wenye...
IDENTIFICATION OF WORKS I DO.
NAME: ANZURUNI SHEMU.
PROFESSIONAL: ELECTRICAL ENGINEERING.
INSTRUMENT: 1 PERSONAL COMPUTER(LAPTOP).
PHONE NO: +255753970366 or +255 789254607.
EMAIL...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
As expected, this pair got corrected lower last week, moving downward by 120 pips before closing while consolidating...
Habari wakuu
Nikiwa safarini kutokea Songea kuja Jijini Dar ili kupata Mlo wa mchana imebidi tupitie hotel ya Aljazeera, kwa wale wanaotokea Iringa, Njombe na makambako wanajjua.
Huduma za...
Habari za majukumu na hongera kila mmoja kwa harakati za kutafuta mkate wa kila siku.
Ninawaza juu ya biashara ya usafi wa majumbani na maofisini katika jiji la Dar es Salaam, lakini sina taarifa...
Wanajamvi naomba ushauri wenu! Nina rejesho la mkopo ACB ambalo toka awali nikipewa mkopo nilishtuka kuwa itakuwa shida, ikanipasa kuchukua kwani nililazimika kwani muda wote wa miezi 4 nafuatilia...
Visiwa vya Madagascar, Seychelles, Maldives, Reunion na Zanzibar ni visiwa viliopo kwenye bahari ya Hindi. Uchumi wa visiwa hivi umefanana vinategemea utalii na kilimo. Kipato cha wastani (per...
Amani ya bwana iwe juu yenu.
Siku bana ugoro unaliwa na vijana
Na mademu kwa wingi sana.
Nataka nichangamkie fursa y kuuza maana watumiaji wameongezeka sana.
Ila unanuka itabidi ili kuvuta wateja...
Habari! Wana JF, Ujasiliamali, Mimi nina ujuzi wa kubuni na kushona mavazi ya kike, ila sina vitendea kazi so natafuta mtu wa kuweza kununua vifaa vya Garment tushirikiane kwenye biashara hiyo...
Habari za asubuhi wadau,
nahitaji msaada wenu tafadhali, kwa yeyote anayeweza kunipa information juu ya hii biashara ya kuprint majina kwenye jerseys nitashukuru sana. nafikiria kuanzisha hii kitu...
Tunaendelea na Ujenzi wa Miundombinu ya uwekezaji:
Ili kujua ni aina gani ya miundombinu na yenye kiwango gani unatakiwa kuijenga ni lazima kwanza ujue ni uwekezaji wa ukubwa gani unaouhitaji...
Global forum on agriculture research,GFAR inatoa funding opportunity kwa vijana wote ulimwenguni wenye umri chini ya miaka 39 wanaofanya au wenye mawazo mazuri juu ya kilimo, uvuvi na ufugaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.