Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wajasiriamali katika sekta zifuatazo inawahusu!..... Elimu Mashirika ya kitalii Mashirika yasio ya kiserikali (NGOS) na yakiserikali Biashara ya hotel Biashara ya maua na miti Biashara ya samani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
KUKURUPUKA NI SUMU KWENYE BIASHARA. Ni kweli kabisa mtaji unao, na shauku unayo na mpango unao bado usikurupuke. Mara nyingi sehemu kubwa ya watu wenye nia njema wanashindwa kutekeleza nia zao na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
ALMOST all government institutions and parastatals have transferred funds deposited in commercial banks to new accounts at the Bank of Tanzania (BoT) as per directives by the government issued...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu? Natumaini mu wazima wa afya, napenda kuwajulisha wajasiriamali wote popote ulipo, kwa sasa tunaanza na wale waliopo jijini DSM, kuwa tumefungua ofisi zetu pale Mwenge,Tunatoa Huduma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa taratibu za kuingiza contena la tiles charges ziko vip import duties,tbs na kodi zingite zinakatwa vipi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NDANI ya banda kubwa lililoezekwa na kuzungushiwa plastiki maalum katika Mtaa wa Kinyerezi Zimbili jijini Dar es Salaam, Dk. Sophia Mlote akiwa ameongozana na mtaalamu wa kilimo, Bw. Abdon Hamaro...
2 Reactions
0 Replies
7K Views
Huawei Device Tanzania recently held its first key nationwide Dealer’s Congress focusing on growth plans for Huawei Device Tanzania and the regional partners in the Tanzanian market. Held on...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Earn money investing in the latest online technology: Real Time Bidding(RTB). Earn over 1% daily on your investment or 150% in 3 months. 13% Refferal commission. 10% Binary commision. Contact...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Kwa kuwa kila mwanadamu anataka maendeleo, basi ni dhahiri kwamba huu mchezo unasheria zake, ambazo wachumi hawataki kuwafundisha raia wengi wa dunia, they call it money game. Moja ya sheria...
1 Reactions
0 Replies
821 Views
Jana nimesikia kupitia taarifa ya habari kwamba kuanzia leo kutakua na mauzo ya hati fungani(bond) kupitia ma bank. Nijuavyo mimi mfumo huu utaendelea kupunguza mzunguko wa shilingi kwenye...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Kwa sasa serikali iko kwenye mkakati wakuanzisha viwanda nchini hili ni wazo zuri na kama litasimamiwa ipasavyo litatuvusha.Hatuwezi kuzungumza habar ya viwanda bila kuigusa hii taasisi muhimu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba ushauri kama kichwa cha habari kinavyosema
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania, tanzania. Urithi nilioachiwa na Mama yangu. Fahari yangu ya asili. Imegeuka ukiwa. Wageni wameimaliza. Wasiokuwa na uchungu wanacheka,. Tanzania nchi yangu. Wapi ulipoangukia...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Inahitajika Bulgar ya barley. Anayejua kule inapatikana naomba aniambie, tafadali inahitajika haraka!. Ahsanteni.
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Habari Za Leo? Kama nataka Kuuza Hisa Zangu nilizonunua maendeleo bank utaratibu uwa inakuwaje ? Na ninaenda kuuzia wapi? Hisa zipo registered Dar Es salaam stock exchange (DSE)
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Habari wakuu, nimepata wazo la kuanzisha kampuni ndogo itayokua inajishughurisha na kazi za rangi Tu, kupaka rangi kwenye Majengo, Nyumba za Makazi ya watu n.k, Na hiyo Ni kuanzia Wall painting...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
MTU yeyote akitaka kujiona jinsi alivyo atakimbilia kwenye kioo na kujitazama ama atapiga picha kwa kamera na kujitazama ama kumuomba mchoraji amchore ili ajione jinsi alivyo. Kuna picha mbili...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa yeyote mwenye kutaka kufungua kituo cha radio kwa masafa ya FM .Transmitter na STL yake zinapatikana kwa 30 Million CIF Dar es salaam Just PM Me for more info
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Kijiweni sometimes kuna mambo mazuri ya kujifunza ila usikae sana, kaa kama sababu zipo. Kuna jambo lilikuwa linanitatiza sana hapo awali, kwa nini wengine wana hela na wengine hawana, je...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba msaada kwa mwenye draft ya katiba ya kikundi cha kijasiriamali, tutajihusisha na kilimo cha mbogamboga na matunda. Tunatakiwa kusajiliwa na kufungua akaunti. Naomba msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…