Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Katika biashara zainazoogopwa Tanzania ni Biashara ya ufugaji wa kuku, wengi huogopa magonjwa na mtaji mkubwa na pia kutokuleta mazao tarajiwa. Hiyo ilikuwa ni zamani siku hizi madawa na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ni zaidi ya miaka 10 tangu nimeanza kumfahamu huyu mzee, amekuwa akitoa millions to billions of shs kuisaidia jamii na hajafulia, hivi hela anayotoa kama misaada ni hela yake ya mfukoni au ni kodi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana jf, nauza viwanja. sifa zake 1. vimepimwa na vina hati miliki ya serikali kuu. 2.via ukubwa kuanzia sq. 900 hadi 1300 3.vipo msongola manispaa ya ilala hapa Dar es salaam 4.mawasiliano 0769...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima kwenu, Wakuu naomba kufahamishwa kama ipo taasisi ambayo inaweza kukopesha ila yenye kukubali shamba kama dhamana,shamba ambalo kimsingi halina hati ila lina makaratasi ya mauziano ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba ushauri kuhusu kuanzisha biashara za midia hasa radio kwa hapa dar. Naomba ushauri kwenye yafuatayo: 1.Gharama za uanzilishaji 2.Vifaa muhimu vya kuanza navyo 3.Muda wa mrejesho wa...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Wana JF mimi ni mwalimu in profession but kwa huu mshahara wa laki 4 nadhani kutoka ni ndoto. Katika tasmini zangu nimegundua kilimo cha miti kinalipa sana na watu huku kwe2 wanao miliki misitu...
4 Reactions
31 Replies
8K Views
wadau kwa mjasiriamal au yoyote mwenye nia ya kujikomboa kiuchumi asome hiki kitabu ajifunze how to be a good investor ni kitabu kizuri sana
1 Reactions
43 Replies
10K Views
Nisaidieni gharama ya controller ya joto na unyevu katika incubetors.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mmoja wenu hapa alishawahi kupokea mizigo ya bei rahisi kutoka nje ya nchi na wanaokusanya ushuru hawakuhitaji makato?Je, kama hivo mizigo ilihitaji kulipiwa kiasi gani mpaka wanaokusanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika gazeti la leo tarehe 4/1/2016 la wananchi kuna habari yenye kichwa kama inavyosomeka hapo juu na kwamba wananchi wengi wamekuwa wakivamiwa mara tu ya kuchukua pesa nyingi benki. Benki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Edmark tz(approved by TFDA) Splina Liquid Chlorophyll - possesses 3 main functions; cleansing, balancing, and nourishing. These enable us to have a stronger body and better health. 1. Cleansing -...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye access na mamlaka zinazohusika na kusimamia mazingira na afya makazini, ninaomba asaidie kufikisha taarifa hii. Ni miezi mitatu sasa tangu Viyoyozi (Air Conditioners) katika tawi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the year: EURUSD Long-term bias: Bearish EURUSD was generally bearish in 2015, reaching a low of 1.0462 and a high of 1.1712. The last week of that year was...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
GOOD NEWS! ALL OUR PRODUCTS ARE APPROVED BY TFDA What is Healthy Living? Chronic diseases have increasingly plagued modern society. This can be attributed to the stress brought about by hectic...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Wadau poleni na majukumu, Naombeni tushauriane kuhusu namna biashara ya vipindi vya radio na tv inavyoweza kumlipa mtu. Binafsi napenda sana kuwekeza katika media yaani naweza buni tv au radio...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
I gave a talk on the economy to a youthful management team of a Kenyan company recently that elicited an unexpected reaction to what I thought was an obvious matter of fact, this being that...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau, Heri ya Kuuona Mwaka Mpya,Kama mjuavyo kuwa habari ya "mujini "kwa sasa ni "HapaKaziTu", hivyo ktk kutekeleza hiyo kauli mbiu, nataka kuanzisha hii business iwe maalamu kwa kufundisha na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WanaJamvi, Hongereni kwa kuuona Mwaka Mpya 2016. @016 iwe ya Kheri kwenu. Mwenzenu ninatafuta fundi wa Machine ya Kutengenezea / Kuchapisha Picha. Machine ni Noritsu 3311. Ninahitaji kupata...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
1.plot iko bahari beach 3568 sqm iko karibu na baharini,hati zipo.bei $500,000.mazungumzo yapo 2.plot iko mwenge karibu na mlimani city 600sqm karibu na barabara ya samnujoma.bei 350m.maelewano...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…