Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari ndugu zangu, Nina eneo la kufanya biashara ya bar/lounge Dodoma mjini. Natafuta mtu atakaye ni sponsor na baada ya miezi 10 mpaka mwaka akapata refunded back na some percentage kulingana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Lipo zanzibar, tukielewana nalileta hadi Dar. M40 maongezi yapo. 0713081204
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Wasalamu! Naomba kufahamishwa sehemu gani Mwanza mjini naweza kupata machine za kushonea nguo na bei zake, e.g Cherehani na overlock machine. Mbarikiwe kwa muda wenu mtakao nisaidia.
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Sisi wafanyakazi wa mazava tunalipwa tofauti na malipo halari ya serikali tunanyanyasika kazi ngum kipato kidogo....tunahitaji msaada kutoka wizara husika mtutembelee hata siku moja msikilize kero...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeagiza kagiri kwa CIF ya USD 2950 Japan. Toyota passo ya Mwaka 2010. TRA wakaongeza 492.24 USD, kwamba bei niliyonunulia gari iko chini ukilinganisha na thamani ya gari. Mambo kama haya ndo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama kuna kitu kitaendelea kurudisha nyuma jiitihada zetu za kulipa kodi na kumuunga mkono rais ni hili la system zetu za ki IT kua poor kila siku na tutaendelea kuiba.Sasa fikiri mteja anaingiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Deleted
0 Reactions
1 Replies
2K Views
GBPAUD = Sell GBPUSD = Sell EURGBP = Buy GBPJPY = Sell GBPCHF = Sell GBPCAD = Sell GBPNZD = Sell NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Wadau wa Biashara na Uchumi Jukwaani Asalam Waleikum, Nikiwa Dar huwa naona vibanda vina nembo za LUKU hata kabla haya mambo ya kulipia kwa simu au maxmalipo hayajaingia.Na hata pale hizo malipo...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Kwa wakazi wa Mwanza wilaya ya ilemela,samahan naomba uni pm kama unaweza kupata chumba na sebule vya kupanga,bei isizid 60 ,Maeneo ya nyakato,na buzuruga,nashukuru
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mwenye mfano wa business plan naomba anisaidie nijifunze jinsi ya kuandika...msaada tu...kama unayo naomba uni-pm
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nahitaji Toyota Noah enjin 3s au nyinginezo faster piga cm 0752842099 saizi Sio kesho
0 Reactions
4 Replies
955 Views
Samahi mm mgeni humu ndani sijui km nipost sehemu sahihi. Nahitaji msaada km kuna mtu ana kiwanja Morogoro mjini kwa ajili ya kujenga nyumba ya kawaida tu, (aniuuzie isiwe nje sana ya mji mfano...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nauliza mwenye kufahamu mahali lilipo duka la vifaa au chemicals za maabara mwanza?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanajamii naomba ushauri natafuta sollor pannel ya kuanzia maisha. Nataka yenye uwezo wa kuwasha Taa kuanzia nne. Naomba anaejua wapi nitapata na bei tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Mimi ni mkulima mdogo wa korosho katika mkoa wa pwani. Mazao shambani mwaka huu hayakuwa haba licha ya kuibiwa kidogo (huu ni uzembe wangu niliajiri mtu asiye muaminifu licha ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bei ni 1.2 mil kwa mawasiliano zaidi 0687137013
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna vyanzo mabalimbali vya mitaji Tanzania kuanzia mln 10 hadi 1b soma hapa kwa maelezo zaidi Price Watch Afrique: TANZANIA: SOKO LA MITAJI
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…