Habari zenu wakuu.
Katika pita pita zangu nimekutana na kitu mitandaoni kimenishtusha sana.
Kumekuwa na fursa nyingi sana za fedha zimekuwa zikitangazwa kwa ajili ya wajasiriamali kutoka nje ya...
Wafanya bihasharawengi wa nchi za Congo, Zambia na Malawi wameona afadhali watumie bandari yaDurban South Africa au Walvis Bay ya Namibia kwa ajili ya usumbufu wanaopatakwenye bandari ya Dar na...
Wana jf nilikuwa na wazo la kuanzisha kabiashara kadogo kakununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kwenda kuuza kwa wenye sonara hapo dar, kama kuna mtu anauzoefu na biashara hii changamoto...
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Tunaandika katiba za Makampuni na NGOs
2. Tunaandika Business plans za biashara, makampuni na NGOs
3. Tunaandika Memorandum and Articles of Association za...
Kutokana na suala la elimu bure na inaonekana kqbisa kwamba elimu yetu hasa kwa shule za serikali itakuwa chini hivyo wanafunzi watahitaji masomo ya ziada kwa kasi ya ajabu ili kujiinua darasani...
Kwa habari nilizosoma nimesikia federal reserve ya Marekani ambao ni wahusika wakuu wa ku control mzunguko wa dola wanapandisha interest rate ya kukopa dollar.
Hii ina maana dollar itapaa tena...
Kama heading inavyojieleza..naomba kuuliza carina used naweza kupata kw shlng ngap? Mana naendelea kujichanga changa mda c mrefu nahitaji kumilik hii gar...Ahsanten..
Dakika chache zilizopita Banki kuu ya Marekani wamepandisha riba kutoka 0.25% iliyokuwepo mpaka 0.5% kwa mara ya kwanza baada ya miaka 7.
.Oil imeshuka na sasa ina trade kwa dola 36 kwa pipa...
"Problems cannot be solved with the same mind set that created them"
-Albert Einstein
Wakati tunajiaandaa kumaliza mwaka, na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, changamoto zetu za maisha ni moja...
Kama kichwa cha habar kinavojieleza
Naomba anaefaham au ambae ashawah kufanya biashara ya smatphones na
ELECTRA LINK LTD USA SMARTPHONE branch ya kenya ​
Wanatumia namba: 00254773036008...
Wadau kwanza hodi hodi ndio mara ya kwanza..
Hili suala la ukitaka mlango wa duka unapewa bei kwa Dollar na unaambiwa mfano dollar 15 per square meter.
Jamani hili jambo litaisha lini? Kwanini...
Wadau! Inaonekana kushuka kwa bei ya soda kume kuwa na impact kubwa sana kwenye soko! Sasa hivi ukienda sehemu nyingi kuna onekana kuwa na uhaba wa soda, hasa za pepsi. Nadhani hii itakuwa fursa...
Digital color lab machine
Wakuu kama kuna mtu anajua wapi zinauzwa machine mpya kama hizi au zinazofanana kikazi na hii hapa TZ anijuze. Nataka nijue Prices etc...
Hufaa kuweka maua artificial au fresh flowers na kuleta mvuto popote pale ofisini nyumbani maeneo ya jikoni chumbani mezani pa kulia sebleni vibalazani hata nje ya Nyumba nk. Majira yote
Vipo vya...
Habari wakuu!!
Kama kichwa kijielezavyo hapo juu...Naomba msaada wa kupata mkopo wa laki 5 nitaweka vyeti vyangu (primary - chuo) as a security..
Ahsanteni.
Here?s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
Although the dominant bias on this pair is bullish, the bias is seriously threatened. After testing the resistance line at...
Wadau,
Mimi ni mtumishi wa umma. Nahitaji kuchukua mkopo usiopungua milioni 12 kwaajili ya kununua viwanja vilivyo kwenye miradi. Naomba ushauri wenu juu ya benki gani ninayoweza kupata mkopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.