Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu salama?! Naomba tujadili hili swala kwani sera iliopo sasa ni ya viwanda kwa ajili ya kuongeza ajira, wafanyakazi maisha yako juu, mishahara...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Msaada wa anayeweza kutambua aina ya jiwe hili au mwenye kifaa kinachoza kupima chemistry ya Mawe Gemstone, tafadhani naombeni msaada wenu tafadhari wana JF
0 Reactions
39 Replies
15K Views
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS ? Part 19 ?Just as picking up a five iron does not make you Tiger Woods, opening a brokerage account and sitting in front of a computer screen does...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Wadau wale wa kemikali ya mercury kwa ajili ya kuchakachulia dhahabu ningependa kulangua kemikali hii kwa small scale miners (wachimbaji wadogo). Mwenye kujua sippliers wakubwa wa mercury anipm...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Salaam za sikukuu kwa wadau wote wa milki (real estate)
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Hallo. Nilishapata. Thanks kwa Wadau
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nchini kwetu Tanzania tumekua na bahati ya kuwa na madini mbalimbali kama dhahabu, almasi na Tanzanite. Madini mengine ambayo hayapewi kipaumbele ni madini ujenzi ambayo hutumika sana katika...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu, Nataka kusajiri domain yangu ili kufungua website kwa ajili ya biashara. Tafadhali mwenye uelewa wa mambo haya anijuze tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natamani kuuza bidhaa za MCL ili niwe nachukulia Mwanza kwani ni karibu na huku kwetu kuliko kufuata Dar es salam. Kama kuna mtu anafahamu walipo Mwanza anisaidie anwani halisi (Mtaa na jina la...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu Habari Msimu wa maembe huku moshi umepamba moto. Maembe yako yakutosha kama unahitaji magunia yakujaza fuso /Scania Kwa maembe unaeza wasiliana na mimi inbox au achia number hapa. Bei...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina mawazo kadhaa kwa makampuni ya simu yenye kuongeza tija na mapato. Ninajiuliza hawa jamaa hununua mawazo na siku ya mwisho hakuna kuibiana? Ukitumia mwanasheria, huwa wanacomply kiasi gani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Vigezo vya kuwa mpangaji bora vinatofautiana kati ya mwenye nyumba na mpangaji husika. Baadhi ya vigezo ni -Umejiriwa? -Upo kwenye mahusiano? -Una umri gani? Soma makala yote bofya: DarProperty...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania inatakiwa tuanze kujifunza kuwa serious kama tunataka maendeleo. Hali ya mpaka wa Tunduma ambao hutumika na nchi nyingi za jirani siyo shwari kabisa. Tokea juzi mpaka hauna umeme na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Fuso ina ton 10 lakini kutokana na manuva iliyofanyiwa inaweza kubeba hadi ton 18. Nataka nimkabidhi dereva awe ananipa hesabu ya mwezi. Matengenezo na service ndogo ndogo ni juu yake. Je...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nipo Kigoma nahitaji kununua HISA kampuni ya TBL je nianzie wapi? Kiufupi nataka nimalize mchakato bila kusafiri mpaka dar es salaam maana gharama ni kubwa mno. kwa wazoefu ambao wanamiliki hisa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Specification, HD 500gb RAM 4gb Core i3 Price ni fixed 300 Check me via 0716421233
0 Reactions
1 Replies
769 Views
r transactions between Federal Reserve Banks. With a face value of 100,000 dollars, it is the highest-denominated piece of paper money ever produced by the United States. The note technically...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
bei Tsh: 1500000, inahali nzuri, kwa anayehitaji tuwasiliane 0753572717.
0 Reactions
0 Replies
618 Views
bei Tsh: 1500000, inahali nzuri, kwa anayehitaji tuwasiliane 0753572717.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa hapa napenda kufahamu mfuko wa kijamii licha ya NSSF wenye kukata makato kwenye gross salary
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom