Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

The problem with many traders is that they have only half a plan, the easy half. They know how much profit they're willing to take, but they don't have the foggiest idea how much they're willing...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Raisi ana mawazo mazuri kuhusu biashara hasa upande wa viwanda lakini utekezaji wa mawazo yake haya una mapunfu makubwa. hakuna nchi duniani inayoweza kupata maendeleo kwa kufunga milango yake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamvi! naomba msaada wa kujuzwa mimi nina familia ya watu 4 matumizi yangu ya gas yananipa wasiwasi! Mtungi wa kg 15 unadumu kwa takribani siku 25! ni avarage ya miezi mitatu sasa! je...
0 Reactions
42 Replies
13K Views
AUDCHF = Sell USDCHF = Sell EURCHF = Sell CADCHF = Sell CHFJPY = Buy GBPCHF = Sell NZDCHF = Sell NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Habarini za Asubuhi wakuu.. Kuna shida nimeipata na ningeomba kusaidiwa ushauri wa kitaalamu.. Mzee wangu alikuwa na kampuni iliyokuwa inajihusisha na biashara flani flani (ilikuwa na General...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Vodacom said on Tuesday it would not buy Neotel's highly sought-after frequency network and would offer roaming deals to rivals to get a $500 million takeover of the fixed-line operator approved...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Wakuu habari zenu, Naomba kufahamisha jinsi ya kua broker wa biashara hii ya dhahabu ghafi hasa kwa maeneo ya chunya. Ningependa kujua nia angalau mtaji kiasi gani mtu unaweza kuanza nao. Mzigo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Heshma kwenu wana JF Mi ni kijana wa kitanzania ambaye nimeajiriwa, lakini kusema ukweli ajira inaboa! Kutokana na hili, nimekuwa nikibuni idea za kibiashara. Mara nyingi nikiwaeleza watu idea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mwenye uzoefu na mtandao wa kuoda bidhaa toka China wa Alibaba anisaidie kuaminika kwake.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF. Ningependa kushea idea mbalimbali na wauzaji wa Pumba laini za mchele au mahindi popote walipo Tanzania. Tujuzane bei mbalimbali za sehem husika. Nitashukuru zaidi kama...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa wanauchumi waliobobea,tunashuhudia serikali mpya ya awamu ya tano ikijitahidi kubana matumizi na kuwabana wafanyabiashara kulipa kodi ili kuongeza mapato ya nchi,nini matokeo ya hatua hizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu nahitaji sana mfanyabiashara anaeuza Mahindi,awe ananiletea mashineni kuanzia tani 5 na kuendelea,nipo Dodoma
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndg watz wenzangu, Siku ya leo Nimeenda kkoo kununua mapazia. Katika pitapita yangu nikapita Duka moja la Wachina liko mtaa wa Aggrey. Nikatoa elfu 80 kulipia mapazia. Yule mchina akinifungia...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
The AECF TZAW is a special fund of the AECF that is only open to agribusiness ideas being implemented in Tanzania. The competition seeks innovative agribusiness ideas that will have a positive...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kuyapongeza makampuni makubwa ya vinywaji hapa nchini, kila moja kwa kuchukua hatua mbali mbali yenye manufaa kwa walaji (Wanywaji). Kwa wale wapenzi wa soda, mtakuwa mmenotice kuwa ladha...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wadau,kuna habari za uhakika chini kutoka kwa wadau wangu wa karibu kuwa hali ya mfanyabiashara said wa home shopping center si nzuri kibiashara... kama thread moja iliyowahi kuandika habari zake...
3 Reactions
131 Replies
28K Views
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS ? Part 18 ?The trading game is not won in the strategy one selects. The trading game is won in the mind.? ? DbPhoenix (Source: Trade2win.com) Name...
1 Reactions
0 Replies
925 Views
Mwenye line za mpesa na tigo pesa tuwasiline 0716307470
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Pata Punguzo la mpaka 50% ukitangaza nasi msimu huu wa sikukuu. Tupigie simu kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Katika kusaka namna ninavyowexa kupata walau ka gari ka kutembelea nilikuta kampuni inaitwa Sbt japan wauzaji wa magari kutoka japan. Kabla cjafanya Order je ni kweli ni kampuni makini na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom