Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Natumaini Vodacom watakuwa wamemfukuza kazi mtu yule au wale wote waliohusika kuchota fedha zinazotumwa kupitia Western Union. Za kwangu hatimaye wamemtumia mhusika baada ya kulalamika makao makuu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman kwa wenyeji wa mwanza naulizia Mahali ilipo branch ya hii company ya sigara Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Najaribu kuangalia ni mradi gani naweza kuuanzisha kwa kiasi hicho nashindwa. Naombeni ushauri, eneo nilipo kuna umeme, maji na huduma zingine.
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Here?s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish EURUSD only consolidated to the downside last week, in the context of a downtrend. There are resistance lines at 1.0750...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Habari wana jukwaa Wana jukwaa naombeni ushauri wa KISHERIA nawasilisha swali langu kwa mfumo wa mifano zaidi ili nieleweke. Kwa MFANOmimi ni mjasiliamali mdogo nataka kuanzisha biashara fulan...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
My view, and experience in SFI as taught me: 1 .We should contact new affiliates as soon as possible. Send a team mail or, if you can, an E-card, as this is more personal and makes the recipient...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Ukiacha sababu nyingi zinazotajwa kuchangia kushuka kwa thamani ya shilingi ya kitanzania; baadhi ya watu, akiwamo Zitto Kabwe walizungumzia ushiriki wa benki za kigeni, katika kushusha thamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kuna mtu anajua gharama za kujenga barabra Tanzania kwa kila kilometa moja? Naomba figures in Dollars tuseme barabara ni tambarare na kama kutakuwa na jidiraja bas ni viduchu tuuu na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
10 DO?S AND DON?T?S TO MAKE THE MOST OF BLACK FRIDAY 1 ? Don?t send bae to camp in front of our warehouse on the night before Black Friday! ? Do download the Jumia app on your...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Nina tenda ya kusupply cementi kwenda nchi jirani sasa sijakubali kitu na hawa jamaa mpaka nifanye research yangu je bei za cement brand gani ni nzuri na ina bei ya afadhali hapa Tanzania Je...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Account ya adsense yenye balance ya US$46.22 inapatikana kwa Tshs200,000 nicheck PM kama unaihitaji.Account imekuwa approved kwa blog tu(hosted). Nakuuzia account pamoja na salio lake fanya hima.....
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Naomba kujuzwa ni jinsi gani naweza kupata information za bei ya mazao masokon kama data. Kwa mfano kariakoo, nia na madhumun ya data hizo ni kuweka kwenye website ambayo niko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Joe Ross is a trading legend, having made a living from the markets for ? hold onto your hats ? 58 years. He has been trading and investing since his first trade at the age of 14. Currently, he is...
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Nina eneo lenye ukubwa ya karibia nusu heka maeneo ya Kimara Suka, Kama dakika tano toka Morogoro road kwa mguu. Kuna mjengo ambao haujaisha, ambao unaweza kuwa hall ya sherehe, godown, ama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika kipindi cha kuanzia mwaka huu shilingi ya Tanzania imepitia misukosuko mikubwa. Shilingi yetu imepoteza karibu theluthi moja ya thamani yake dhidi ya fedha za kigeni kwa ulinganishi wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu salaam. Nilijiingia mkenge na matangazo ya FAST-JET nikafanya booking online na kulipia kwa M-PESA. Sasa mwenzenu yamenikuta na nashindwa nifanyeje sababu hawa fast jet hawatoi ushirikiano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
With the New Year rapidly approaching comes New Year?s resolutions or decisions. Make your new year?s resolution be to switch to a better , more popular and reliable Supplier and Manufacturer of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Historical data reveals that Gold tends to rally during Thanksgiving celebration in the U.S. ? which is held on the 4th Thursday of November of each year. Gold rally often takes place in the week...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Habari zenu wakuu, Naombeni kufahamu umbali uyopo Bagamoyo mjini na hapo kwenye maeneo ya ujenzi wa bandari,usafiri upo wa uhakika na barabara ipo imara.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
The Darproperty Magazine toleo la Novemba lisome hapa, The Magazine
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom