Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wapendwa naomba mwenye uelewa na Hisa anieleweshe nataka niingui kwenye biashara ya ununuaji Wa Hisa Pia ni Hisa za kampuni gani zinafaida na ukiwa na kiasi gani cha Pesa? Nawakilisha naombeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutoka Statoil (I shared as I received, usiniulize maswali mengi, mimi sio muhusika, tembelea website yao kama walivyoitoa hapo chini) Shindano la mradi wa biashara la Mashujaa wa kesho...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Je, una ozoefu katika sekta ya usafirishaji na uchukuzi? Kwa mfano: Tours, Taxi, Trucks, Daladala nk. Je, unaweza kufanya kazi kama afisa masoko (part time) katika sekta hiyo au kuwa mshauri...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Naomba msaada wa kujua ni mashine gani zinatumika kuprinti plastic id cards na bisness cards kwa haraka, zinapatikana wapi, kwa bei gani. Na material zake zinapatikanaje? Kwa sasa natumia Epson...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau, tuna kampuni yetu ya mambo ya Media ambayo iko Mkoa mmoja hapa Tanzania, tuliplan kufungua gazeti ambalo litakuwa linadeal na kuandika habari zinazohusu maendeleo na fursa za mkoa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanabodi, Naomba nianze kwa kuwakumbusha maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, kuwa Umasikini mbaya kabisa ni umasikini wa mawazo!, kuwaza kimasikini, kujikubali kuwa sisi ni masikini, na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau heshima kwenu! Nauliza, ntapata wapi Polyurethene Liquid kwa ajili ya kutengenezea mold? Navyofahamu zinakuwa aina mbili za vimiminika ambavuo baadaye vitaganda baada ya kuvichanganya...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Mimi ni mtumishi wa serikari, Nina mkopo NMB ambao natarajia kuumaliza mwaka 2017, zaidi naomba kujua kama naweza kuomba mkopo benki nyingine.
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Habari zenu wapendwa? Wakuu kuna jengo linahitajika kwa ajili yakuhifdhia vitu fulani hivi, hilo jengo linatakiwa liwe na kuta ndefu kama za ghorofa ila halitakuwa na vyumba vya juu na chini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
GBPAUD = Sell GBPUSD = Sell EURGBP = Buy GBPJPY = Sell GBPCHF = Sell GBPCAD = Sell GBPNZD = Sell NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
PENFAR SECURITY LIMITED Penfar Security is a limited company incorporated in Tanzania with a reputation for professionalism, devotion to duty and commitment to our industry. At Penfar Security...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitabu... Sijui ni kukosa uelewa wa umuhimu wa vitabu au kukosa muda,uwezo wa kifedha na sababu kemkem tulizonazo.Nas alishawahi kusema katika wimbo wake wa I...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapendwa salama! FEDE burudani inakuletea December to January special offer, kwa huduma ya MUSIC & MC kwa Tsh 490,000/= tu kwa tukio nzima kati ya haya;- Harusi, kitchen party, send off...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kazi wakuu,natafuta mtaalamu wa greenhouse. Ninajiandaa na project endelevu ya kilimo kwa greenhouse ninachohitaji ni mtaalam ushauri elekezi ambaye tunaweza kufanya nae makubaliano...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Revenues hit 604bn/- against monthly 420bn/- IPP media leads in exposing tax evaders Finance minister Mustafa Mkulo (R) presents Overall Winner award in category of large taxpayers to NMB...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Monthly Technical Reviews on Gold and Silver (December 2015) GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bearish The Thanksgiving effect did not take place last week, as Gold generally moved sideways...
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Nimependa staili za hawa jamaa wa JUMIA, huwa unaweka order online na wanakufikishia mpaka ulipo na utalipa hela ya bidhaa baada ya mzigo kufika mkononi mwako, hawa ndio JUMIA kwakweli huduma zao...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada. Kuna yeyote humu anafahamu kuhusu Jumia Tanzania. Wanapatikana @ www.jumia.co.tz? Wadau nina shida so help me.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakati hali ya biashara maeneo ya kariakoo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ...imedhibitika kuwa chanzo ni kusitishwa shughuli za zile kampuni ya "baba,mama na mtoto"....kampuni hizo zilikuwa...
10 Reactions
88 Replies
10K Views
Back
Top Bottom