Ni miongoni mwa biashara zinazolipa hapa mjini nimewahi ulizia wengi hawatoi taarifa ila mmoja aliwahi niambia pale Tegeta
zile wanazouza elfu ishirini(20000) hujumua kwa elfu kumi na mbili...
?Education is incredibly important for traders. Traders should look to educate themselves as much as they can along their trading journey.? ? James Hughes
In USA, Thanksgiving Day is around the...
Tanzania in recent years has witnessed a huge influx of foreigners and being amongst the leading recipients for foreign direct investments, this demonstrate the success of the government?s...
Amani kwenu wadau wa biashara.
Ndugu zangu huko kijijini wamefanikiwa kuchimba madini ya ruby kwa walivyo niambia, yanakadiriwa kufikia robo tatu ya KG. Ila hawajui wapi wayauze na pia hawana...
Here?s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
EURUSD did not make any serious directional movement last week, for what was seen was slow short-term movements to the...
Habari zenu ndugu zangu.
Naomba mnisaidie nijue gharama na process nzima ya kutoa bandarini container lenye furniture ambazo sio za
biashara.
Najua kutoa gari bandarini ni mtihani ila je...
TRA kwenye calculation tool yao tayari wameweka thamani ya magari na kukokotoa kodi kutumia thamani yao wakitumia mwaka wa gari, CC na aina ya gari tu.
Je, hii ni sahihi? na kama thamani halisi...
Habari zenu watanzania wenzangu. Swali langu nilikuwa nataka kuuliza kwamba nimeachiwa kampuni na wazazi wangu ila kutokana na kwenye bank hakuna fedha za kutosha kuimarisha kampuni isimame kama...
Bagamoyo au Kigamboni eneo gani ungependa kumiliki kiwanja?
Viwanja vyote vipo karibu na bahari na vinauzwa.
Kwa maelezo zaidi tembelea; DarProperty: East Africa's Ultimate Property Guide
Tafadhali wadau wakala wa usajili wa biashara (Brela) wameanzisha mfumo wa usajili wa majina ya baishara kwa njia ya mtandao. Ila ni muda sasa mtandao huo unasumbua na haufanyi kazi. Na ukienda...
Wakuu heshima kwenu, ningependa kufahamu ikiwa unanunua gari lililokwisha sajiliwa kwa jina la mtu mwingine ni utaratibu gani wa kufuata kuweza kubadili jina la umiliki pamoja na gharama endapo...
Nacho kiongea nina experience nacho kwa muda mrefu nimekuwa niki kifanya kwa kushilikiana na team,na nimeona mafanikio yake sasa kwa kuwa wateja wanazidi kuongezeka naomba ajitokeze mwekezaji...
Ndugu zangu, biashara ni mawasiliano. Maisha ni kujifunza na mafanikio ni ushirikiano sahihi.
Ninaomba kufahamu, kutoka kwa mtu yeyote mwenye taarifa za bidhaa ambazo zinazalishwa na viwanda...
Kila siku nasikia uuzaj na ununuzi wa hisa,
1. Naomba kuelimishwa maana ya hisa,
2. Unapataje faida unaponunua na kuuza hisa?
3. Nina kamtaj ka million 5 ninaweza kukawekeza kwenye hisa...
Naomba kuonyeshwa ramani, mie nafanya biashara ya duka la vipodozi Tanzania na Msumbij, nimeamua kufungua duka la vifaa vya simu kwa jumla Msumbiji. Mfano kava, chaji za simu na laptop kwa ufupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.