Msaada wenu waungwana,Naomba kuuliza; unagizaji wa Daladala kutoka Japan (Used) inagharimu shilling ngapi? Na je,hadi kutoa pale Bandari ya Dar-es-Salam naweza kutumia Kiasi gani?
Msaada ndugu...
Wakuu nawasalimu.
Kuna ndugu yangu hapa Dar anahitaji mkopo wa sh 3m. nilivoongea nae hana dhamana ila ajira yake inaisha tar20 this november na anategemea kupata pensheni yake baada ya wiki...
Majuzi nimetembelewa na PiPiMatch.com nimependa sana kazi wanazofanya,kwani niwatengenezaji wa software na kuziuza kwa bei muruaaaa. Nimependa zaidi offer waliotoa kwa watu wanaotaka kumiliki...
Nina miliki mgodi wa ruby uliosajiliwa ni mgodi wenye Hector 10 na mawe yake ni ya huakika ila kwa sasa nimekwama kiuendeshaji. natafuta mtu anaeweza kuingia mkataba na mm tukafanya kazi kwa...
Naombeni msaada hapa rafiki yangu kutoka ghana ananitumia laptop 2, moving camera na vitu vingine vichache vya dizaini hizo.
Nauliza ni kampuni gani reliable nimshauri aitumie kunitumia hivyo...
Wadau kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo, kikubwa nimevutiwa na bei ninayoisikia juu juu ya 8,000/= sasa najaribu kupata details za wapi ntaipa hiyo cement kwa hapa Dar-es-Salaam maaana...
Thinking about starting a home business? Not sure where to begin? Start your home business on a rock-solid base! Consider teaming up with us. Since 1985, we've helped tens of thousands of men and...
Habari zenu wajasiriamali,
Hivi kati ya lesseni na tini kipi kinaanza, Na lesseni inapatikana wapi na tini inapatikana wapi, au vyote vunapatikana TRA.
Here?s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
This pair dropped 300 pips last week, testing the support line at 1.0700. The largest southwards movement last week...
?It is not so important to be right, but how to make money when you are right.? ? Ivan Hoff
I remember what happened at one interesting trading conference I attended about 5 months ago. It was...
Jamani mi naomba watu wote waliosomea au wenye uzoefu na kazi ya sales and marketing, tuonane hapa, ili tuweze kujuzana hili na lile katika fani hii,
Ahsante.
Hivi inawezekana kufungua biashara ya charter ya ndege kama wanavyofanya Tropical na Coastal.
Inalipa?
Bora kununua mpya au used?
Ndege kama Cessna/caravan ya watu 13 inafika being gani?
Bora...
Press Release
6nd November 2015
THE WORLD?S LARGEST GARMENT BUYER ARRIVES IN TANZANIA TO EXPLORE INVESTMENT OPPORTUNITIES IN GARMENT PRODUCTION
The Tanzania Investment Centre (TIC)...
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS ? Part 16
??Remember to view setbacks, losses and failures as learning opportunities. All great achievers have made innumerable mistakes and have...
Hivi karibuni Raisi mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alisema serikali inafikiria kupitia upya sheria ya umiliki wa mali zisizohamishika hasa zinazoweka vizuizi kwa wageni kununua nyumba nchini...
Habari,kwa wale wenye uzoefu na mambo haya naomba kujua......nikiaagiza/nunua desktop(CPU only) kutoka Ebay au Amazon ikifaka bongo nailipia sh ngapi kama kodi au ushuru?
It is interesting to see that Bitcoin is strengthening seriously against USD (BTCUSD). Now that certain pairs and crosses are choppy, consolidating, and reversing, it is a surprise that Bitcoin is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.